MFAHAMU JULIAN ASSANGE WA 'WIKILEAKS' NA KILICHOMPATA
#PichaLinaanza Kama una idea/umewahi kuskia kuhusu huyu jamaa na story zake,utaelewa zaidi,kama hujawahi kufatilia kabisa,utainjoy hili movie la kweli. Julian P assange
mmiliki wa moja ya website maarufu sana Duniani

Wikileaks,alipata umaarufu
kupitia uchaguzi wa marekani 2016 uliomuweka madarakani Donald J Trump,na Julian akatajwa kama mmoja ya watu mashuhuri na walioingilia uchaguzi wa marekani akishirikiana na Raisi wa Urusi VLADMIR PUTIN kutwist matokeo
yaliyomsaidia Trump kuwa

elected kama raisi wa 46 wa USA Picha lililopita uliona.Mpinzani wa Trump Bi HILLARY CLINTON ambaye alikuwa anatetea kiti
alichokuwa anakiacha OBAMA, Ambae pia ni mke wa rais wa 42 wa marekani(BILL Clinton) na secretary of state kwa raisi wa 44 Barrack Obama.
alichokuwa anakiacha OBAMA, Ambae pia ni mke wa rais wa 42 wa marekani(BILL Clinton) na secretary of state kwa raisi wa 44 Barrack Obama.
Ilionekana na kusemekana website na mmiliki wa wikileaks aliichangia kwa kiasi kikubwa sana Hillary kushindwa uchaguzi huu wa 2016 kwa kusambaza uzushi na propaganda.Unaweza kujiuliza how and why mwandishi mwenye asili
ya Australia aliyekua anaishi Sweden na Uingereza
ya Australia aliyekua anaishi Sweden na Uingereza
adedicate Muda na website
yake maarufu kuhakikisha Hillary Clinton hashindi uraisi wa Marekani, nchi ambayo yeye hakua anaishi wala hakuwa na maslahi yoyote? Picha ndo linapoanza.
Wikileaks ni website iliyoanzishwa miaka kadhaa nyuma, 'leaks' ikiwa ni neno la kiingereza

likimaanisha 'kuvujishaa' na imejizoelea umaarufu kwa kuvujisha siri za viongozi na serikali za nchi mbalimbali yaani tunazungumzia classified information . ilianzishwa October 4, 2006,Mwaka 2010 website ilivujisha video ikionyesha wanajeshi wa marekani waliokuwa juu ya helikopta
ya kivita wakiwamiminia risasi na kuwaua raia waliokuwa hawana silaha,wanajeshi hao walifanya hivyo kama sehemu ya mzaha
au kujifurahisha wanasema just for fun.vijana kumi na wawili walikufa pale pale!! akiwemo mwandishi wa habari maarufu nchini iraq ambaye ni baba wa mtoto wa
au kujifurahisha wanasema just for fun.vijana kumi na wawili walikufa pale pale!! akiwemo mwandishi wa habari maarufu nchini iraq ambaye ni baba wa mtoto wa
mtoto wa miaka mitatu pamoja na mpiga picha wake aliyekua na miaka 20 tu na yuko mwanzoni mwa carrer yake mjini Baghbad, wakati wa vita vya iraq na marekani mwaka 2007.Hakutimiza ndoto yake
kwasababu wanajeshi wa marekani walikuwa wanajifurahisha.
kwasababu wanajeshi wa marekani walikuwa wanajifurahisha.
Hii video ilivuja miaka 3 baada ya tukio,na uongozi uliokuepo madarakani ulikua ni wa Barrack Obama na secretary of state wake alikuwa ni Huyu mama HILLARY
CLINTON na beef kati yake na JULIAN ASSANGE ilianza hapa.i hope tunaenda sawa. lets talk about the video
CLINTON na beef kati yake na JULIAN ASSANGE ilianza hapa.i hope tunaenda sawa. lets talk about the video
Hiyo video ilipewa jina la THE CORRATERAL MURDER.Ilienda 'viral' kinomanoma na ikaonesha mambo yaliyokua yanaendelea
kwenye vita vya IraQ ambayo viombo vya habari vya USA havikua vinaonesha,pia ikaonesha uonevu uliokuwa unafanywa na kuendelea na Wamarekani dhidi ya mataifa ya
kwenye vita vya IraQ ambayo viombo vya habari vya USA havikua vinaonesha,pia ikaonesha uonevu uliokuwa unafanywa na kuendelea na Wamarekani dhidi ya mataifa ya
kiaarabu Ulikuwa wakati mgumu
kwa Marekani ambayo siku zote ilipenda kuonekana wazuri na wanadhamini wakuu wa demokrasia na kuleta solutions dunia.Hiii video ilionyesha taswira opposite kabisa, ilionesha upande ambao Wamarekani hawakua tayari dunia
Iuone

At this time walikua wanastruggle kuelezea dunia kwanini waliivaimia Iraq kwa mara ya kwanza kwa sababu muda ulishaenda,na pressure kutoka kwa wananchi
ya kwanini Wanajeshi wao wanakuf yaani nini faida ya vita ile kwa taifa la Marekani kiujumla?
ya kwanini Wanajeshi wao wanakuf yaani nini faida ya vita ile kwa taifa la Marekani kiujumla?
so hii video ilivuja wakati mbaya sana kwa marekani na ikaamsha hasira yake. America Got pissed..!!
Wakaanza kusaka source ya video ile, wapelelezi wakaingia kazini ili kugundua aliyempa JulianAssange na Wikileaks ile video who was the military intellegence whistleblower!!?
Wakaanza kusaka source ya video ile, wapelelezi wakaingia kazini ili kugundua aliyempa JulianAssange na Wikileaks ile video who was the military intellegence whistleblower!!?
ukumbuke hii ilikuwa kesi ya KIJESHI. Na hizi clip haziwezi kuvuja kiaina,'whistleblower' kwa Kiswahili unaweza kusema "MVUJISHA SIRI ZA KAMBI".Na huyu ndiye watu walimtafuta.Sasa basi,Kwenye mji wa maryland Marekani mwaka 1995 mtoto wa miaka saba
ambaye yuko tofauti sana na wenzake, alikuwa na AKILI sana darasani lakini hakua na tabia za kawaida kama watoto wengine wa kiume,alikuwa anapenda zaidi vitu 2,computer na Mama yake washkaj zake wa utotoni wanasema alikua mpole, but muda mwingi alionekana wa tofauti
smart na alimwogopa sana baba
ake sababu alikua mkali.Huyu mtoto ndiye STELINGI mwingine unayetakiwa kumfatilia hapa.
Familia ya Manning walikua ni masikini na kitu pekee ambacho mzee Manning alimiliki cha thamani ilikua ni 'computer' so huyu mtoto jina lake BRADLEY MANNING

alishinda akichezea comtuper tu akiwa na miaka 12 baba na mama walitengana, yeye na mama ake wakahamia Uingereza sababu mama ake alikua na asili ya Wales Uingereza.Baada ya miaka kadhaa mama ake aliumwa sana ilibidi Bradley arudi kuishi na baba ake marekani na sasa alikua
ameshakua kiasi na amejijua na kuamua kuwa yeye ni shoga( gay)
Baba ake kama Museven na
waafrica wengi hakutaka kuskia kitu kinaitwa gay na ujinga wowote wa mtoto aliyeondoka na mama yake akiwa mwanaume na sasa anatabia za kike, akamfukuza..!!OUT
Baba ake kama Museven na
waafrica wengi hakutaka kuskia kitu kinaitwa gay na ujinga wowote wa mtoto aliyeondoka na mama yake akiwa mwanaume na sasa anatabia za kike, akamfukuza..!!OUT
Bradley akaanza kukaa kwenye mitaa ya West and SouthChicago kama a homeless person (watu waosio na makazi maalum) kwa miezi kadhaa mpaka aunty yake alipomtafuta na kumrudisha nyumbani.Wanasema maisha ya mtaani yanabaka akili, huyu mtoto akapata matatizo ya kisaikolojia na akawa
hayupo sawa kiakili at all, shangazi akamrudisha shule, akaGraduated high school ,lakini sababu familia yake haikua na uwezo wa kumpelekea college, Baba ake ambaye still aliona kua shoga kama tatizo akamshauri aende Jeshi akiamini akifika huko atakakamaa kama Mwanaume kamili
Akaapply akapata nafasi akapangiwa kureport mji wa boston ,ndo akaona amewin maisha sababu boston marekani ni mji wa kitechnologia na pia hakuna mtu yuko na time ya kujua ww ni kitu cha chuga au sigara kali! alikua huru na akapata BoIFrEnDi wakeβ¦Mwafrica mwenzangu utasema
ASTAKAFIRULAH WALAHI! Ukumbuke ni kipindi Marekani ilikua ktk vita na iraQ , ilihitaji watu wengi iwezekanavyo especially waliokua na ujuzi na computer, So
walimfanyia 'psycho analysis and evaluation' na madaktari wa akili walimkataa kabisa kumpeleka mtu kama huyu vitani
walimfanyia 'psycho analysis and evaluation' na madaktari wa akili walimkataa kabisa kumpeleka mtu kama huyu vitani
au ata mafunzo ya kijeshi sababu waliona hakua sawa kiakili( mental health issues) lakini wakubwa wa jeshini wakasema usituambie ivo sisi na dogo akatipa fresh,wakiwa kwenye mafunzo ya awali Bradley akaanza kua bullied /kukejeliwa na
wanajeshi wenzie sababu moja alikua
wanajeshi wenzie sababu moja alikua
anakaumbile kadogo, mbili alikua shoga, tatu alikua amelegea legea.Sifa zote hizo jeshini ni kipengele.Kwakifupi hakuwa na vigezo kwenda vitani, kuna mwanajeshi mwenzie alidhibitisha kuwa kuna kipindi walikua wakimtishia mpaka anajikojolea, aliyekua aliyekua captain wa kikosi
chao akapeleka tena maombi ya kumuondoa Bladley jeshini kwa sababu hafai but maombi yake yakatupiliwa mbali wazee wakakomaa na Bradley akajikuta yupo kwenye ndege anaelekea baghdad IRAQ....
#PichaLinaendelea vp Bradley anahusikaje na Wikileaks? Assange anaingiaje?
#PichaLinaendelea vp Bradley anahusikaje na Wikileaks? Assange anaingiaje?
Sehemu ya pili hii
Loading suggestions...