Madinidotcom
Madinidotcom

@madinidotcom

26 Tweets 29 reads Mar 28, 2022
MFAHAMU JULIAN ASSANGE WA 'WIKILEAKS' NA KILICHOMPATA
#PichaLinaendelea sehemu 2
Hapo chini kuna link ya sehemu 1
Nchi za mashariki ya kati nyingi ni jangwa and iraQ is no difference, kule kulikua na vumbi tuu na ile vita ilikua imeshapiganwa muda mrefu so wanajeshi wamechoka
morali iko chini sana hamna shughuli nyingi ni vumbi tuu la
jangwani.Alienda kule kama analyst na mtaalam wa IT (computer). Alichokikuta kule vitani mambo aliyoyaona anajua yeye but we all know vita sio kitu chema, akaanza kudeal na depression "i am a problem solver
i am good with numbers but this was different,they are not just numbers these are real people,and that was there home" alisema Bradley kwenye moja ya interview alizofanya hivi karibuni.Uwezo wa akili yake kuadjust na mazingira ukaanza kufeli vibaya akaanza
kushindwa ata kulala
Sababu ya matukio aliyokua anayaona IRAQ yaliyokua yana fanywa na wanajeshi wa Marekani kwa wananchi wa mashariki ya kati yalikua ni matukio ya kinyama sana, matukio ya kibakaji, mauaji yasio ata na msingi just to have fun.hii ndio humaanisha wanaposema "vita haina macho"
Haikua vita tena, haikua kuhusu haki tena,Sadam Hussen hakuwa ajenda ya ndani ya vita,kulikua hakuna mzuri wala mbaya wote walikua wauaji tu kwenye video
hizo.sasa siri zilitokaje nje ya kambi? Picha na documents za kivita wanaziita 'war logs' ambazo zilikuwa za siri
Classified yalikua yanatisha sana na ilikua kazi yake bradly kusort material yaani kuyapanga kwahiyo aliona kila kitu,ukumbuke zile kofia za jeshini wakiwa kwenye mission c mnajua vina camera mara nyingi, hivyo ndivyo hurekodi videos ambazo matukio mengi huwa siri ya jeshi.
Bradley hakuwahi kukanyaga kwenye uwanja wa vita hata mara moja, lakini aliona kila kitu na ya ziada na alikuwa mtu sensitive
sana, akaamua kuanza kusort yale matukio na kuyaweka kwenye CD.
(utajiuliza ulinzi haukuwepo wakati ni kambi ya jeshi wanakaguliwa
sana?")
wanasema kukiwa na vita you adjust na mnaaminiana especially mkiwa mko kwenye nchi za watu so security pale kambini haikua tight sana na mara nyingi alikuja na CD ilobandikwa cover ya "lady gaga" na anaifuta na kustore material alizoamua kuondoka nazo
Though mwanzo anasema ilikua nia ya kuyahifadhi tu, hatimaye bradly alipata likizo ya kurudi nyumban kwa wiki 2 na akapandishwa cheo, aliamua kwenda kwa BoIFrEnDI wake boston kuspend na kucelebrate but hakukaa sana, bila sababu yule boyfriend akamuacha
bradley akaingia tena kwenye stress zaidi ya mwanzo.sasa, ile depression ya kazini ikadouble condition yake na akawa hayupo sawa kabisa, akawa mtu mwenye kisirani sana .ANGALIA kisa kinapoanzia,Baada ya wiki mbili kuisha akarudi kazini baghdad kuendelea na maisha ya vita
GHAFLA akapata idea akaanza online chats,kuchat na watu asio wajua,na sababu alikua mzuri na computer alikua anachat na ma 'hackers' wakubwa dunia ndipo
alipokutana na Adriano Lamo. Ni nani huyu?Adriano lamo ni hacker maarufu sana duniani pia alikua mfanyakazi wa Wikileaks.
Sabab bradly alikua na depression,alikua na mengi ya kusema tuuh hakua amepata mtu au mahali pa kusema alipokutana na mtu mtandaoni na yupo tayari kumsikiliza alisema kila kitu kuanzia jinsi anavyojiskia kubadili maumbile anataka kua mwanamke
( transgender)
na mwisho akafunguka kuhusu
video alizonazo za jeshi.kumbuka ni hacker wa jeshini anachat na hacker wengine wa mtaa.
Akamwambia " i have CD's full of top millitary secrets and the world will freak out if they saw this, i want to let the world know but i don't want it to come
from me" .akimaanisha nina cd yenye siri kibwena za jeshi na dunia itapata taharuki wakiziona
natmani dunia ijue lakini nataka isionekane zimetoka kwangu
Hapa ndipo Adriano Akamshawishi Atumie Wikileaks na bradley
akawatumia Wikileaks na gazeti the Newyorktimes video ya mambo
yaliyokua yanaendelea kwenye vita vya Baghdad na afghanistan yaliokua yanatendwa na wanajeshi wa marekani. Video zikapostiwa, war logs zikachapishwaa kwa wiki
kadhaa na magazeti ya marekani na dunia, wakayachoresha majeshi na serikali ya Marekani na kuwaita wanafiki na maadui
wa dunia na demokrasia, chuki ya
waarabu dhidi ya marekani ikapata nguvu. Hillary clinton waziri wa mamabo ya nje wakati huo akaingilia kati na kuanzisha vita na Wikileaks wakati wapelelezi wanatafuta source ilovujisha hizo
information na zilikua sensitive and classified
kuhusu jeshi lao haikuchukua
muda, Adriano akajulikana km hacker aliyeleta story hiyo Wikileaks
walipombana vizuri haikuchukua ata muda akamtaja "Private bradley manning" Hivi ndivyo blaza yenu alidakwa.Marekani ikawa imempata mtu wao aliyesababisha leak kubwa katika historia
ya jeshi la marekani Wakati Bradley anakamatwa alikua yupo bado Baghdad akisubiria kufukuzwa jeshini baada ya kumpiga ngumi mwanajeshi mwenzie tena wakike, Mp's.Hapa ni sawa unatafutwa kwa kesi ya mauaji wanafika unakutwa
unavuta kidude cha Ngulelo
..kesi juu ya kesi.Walimchukua wakampeleka kwenye moja ya kambi za jeshi za marekani nchini kuwait ambako walimuweka ndan ya cage akiwa peke ake na kuna
giza..km unajua kidhungu bradly anasema " i lost a sense of time,i didn't know were i was and nobody was asking me anything!
matter of fact nobody was even talking to me, i saw people but they pretended like i didn't exist, so i just gave up" .Alikaa kwenye ile cage kwa siku 16, akatolewa akapandishwa kwenye ndege mpk Quantico marekani akawekwa gereza lenye ulinzi mzito na mkali
kwa tanzania ni kama Segerea na aliwekwa ndani gizani kwa masaa 23 kwa siku na saa moja tu la kutka nje kuota jua.Wakamfungulia mashtaka 22,20 yakiwa chini ya
kifungu cha espionage (makosa ya kispy) na wawili yakiwa ni kumsaidia adui aiding the enemy)
wa marekani na kesi yake ili endeshwa na mahakama ya kijeshi
ambapo watu wa kawaida wala waandishi wa habar hawa kuruhusiwa kuhudhuria,kesi iliendeshwa kwa miezi kumi na moja tu,akapatikana na hatia ya makosa 20 kati ya yale 22 na kuhukumiwa kifungo cha miaka 35 jela
na akaitwa traitor Baada ya hukumu yake kesho yake alijitangaza kupitia mwanasheria wake kwamba yeye ni Mwanamke.( transgender) "as i walk in to this new phase in my life, i want the world to know that i am a woman and a transgender, identify me as CHELSEA MANNING.
akajitag na jina lake jipya CHELSEA
akaambiwa haya BWANA BI CHELSII ingia ukanyee ndoo akapigwa Ndani kisa chake
hakijaisha,alikuja kutoka...tukiache kwanza.Walipomalizana na source wakaanza kudeal na aliyesambaza taarifa....
ambao ni Wikileaks na ukiwa Secretary of the state(waziri wa mambo ya nje) kama Hilary
Clinton,maamuzi ya kiitelejensia yanapita kwako kwanza kabla ya kwenda kwa raisi...
#PichaLinanoga Story ni ndefu inaishia post ijayo...
Tunapatikana Audiomack pia

Loading suggestions...