KUTENGANA KWA KOREA KUSINI NA KASKAZINI ,CHANZO NA MATOKEO
YAKE
#PichaLinaendelea sehemu 2
USA anachukua vijana wake anawatuma KOREA wanaenda kukutana na
vijana wa Urusi waliotumwa huko
wanapigana wewe lakini wananchi wanaoteseka ni wa hizo nchi vita inapopiganwa.

unasemekana KOREA wenyewe hawakuwa na sauti katika hili.Kumbuka Mpk hapa Korea ilikuwa imeshajengeka sana na urafiki wake wa Marekani tangu Kitambo,so #Marekani ikaja na idea kwamba ichukue upande wa Chini ambapo kimsingi ndipo penye UDAMBWI UDAMBWI mwingi.
Lakini haimaanishi kaskazini hamna kitu,Viwanda vingi vikubwa na vizito vilikua upande wa kaskazini,so URUSI akaona Deal..mstari wa DMZ ukachorwa Rais wa Marekana enzi hizo ndugu #Roosevelt na bwana βStalonii' wa urusi
walikubaliana kugawana hivi.
walikubaliana kugawana hivi.
Wkt huo wakorea wengi walikua wanapinga hiki kitu. Na ukumbuke walikuwa wanapinga nchi yao kuzozaniwa na watu wawili lakini maisha yao kama wakorea yalikuwa yanaenda kama kawa.KIFUPI mgawanyo ulikuwa level za kisiasa na uongozi ila haukuwa kijamii.Wakorea walijua sasa suluhu kati
ya RUSIA na marekani ingeishia hapo,wapumue waendelee na maisha yao.Ikawa nchi moja inayoongozwa
system 2,means mwananchi wa korea ukitaka kudamshi unakuja mikoa ya kusini mnaruka majoka then unarudi kaskazini ambapo vibe lake watu wamenuna kama Urusi)
system 2,means mwananchi wa korea ukitaka kudamshi unakuja mikoa ya kusini mnaruka majoka then unarudi kaskazini ambapo vibe lake watu wamenuna kama Urusi)
Imagine nchi ya aina hii wazee wa kibongo wangesema 'nchi ya wavuta bangi!Hii system ilionekana sio na 1948 Marekani na Urusi walitakiwa wakutane kujadili jinsi ya kuacha huu ufala,na kurudisha Korea ijitawale,but USA ilikuwa inaogopa COMMUNISM sana na huo mkutano haukufanyika.
Marekani ndo akaja na idea ya pili
kwamba,kwasabab hatuwezi kupata mshindi,basi tuondoe majeshi yetu tusimamie kila upande upate kiongozi MZAWA kwenye mfumo huu huu. Enzi hizo mji mkuu wa kanda ya kusini ya korea ni SEOUL(soul) na kanda ya kaskazini ni PYONGYANG .

Yote hiyo leo imegeuka miji mikuu ya nchi mbili tofauti. So kanda ya kusini USA alisimamia UCHAGUZI WA KIDOMOKRASIA na akachaguliwa SYNGMAN RHEE akapokea madara kutoka kwa jeshi la USA upande
wa kusini.Then ZAMU ya kaskazini Rusia wakasema βwatoto ndo wanafanyaga
ELEKSHENI
wa kusini.Then ZAMU ya kaskazini Rusia wakasema βwatoto ndo wanafanyaga
ELEKSHENI
MALIJENDI tunateuaga".Wakacheki cheki JESHINI wakakutana na mwamba
aliyekua mpiganaji Jeshini ALWATAN KIM IL-SUNG na hapa ndipo ukoo wa KIM ukaingia au kuingizwa rasmi kuitawala KOREA. Na hadi leo wapo na Kim IL SuNg ni babu yake na huyu KIM JONG UN,
aliyekua mpiganaji Jeshini ALWATAN KIM IL-SUNG na hapa ndipo ukoo wa KIM ukaingia au kuingizwa rasmi kuitawala KOREA. Na hadi leo wapo na Kim IL SuNg ni babu yake na huyu KIM JONG UN,
alikuwa kibaraka wa RUSSIA wakati
inashikilia kaskazini .so kufikia 1949 majeshi yote ya Russia na Marekani yakaondoka KOREA na kuziacha pande mbili zikiongoza kila moja ikiamini inachoamini.Juu UCOMMUNIST na chini wanadamshi kicapitalist.

Niliwahi kuelezea tofauti ya hizi style
mbili za kuongoza nchi.Baada ya hapa #Marekani ikaondoka mazima SOUTH KOREA na kuwaacha wandelee na
maisha yao huku ukiwahasa 'kutii sheria bila shuruti' na kufuata mienendo mema imfaayo bwana!
mbili za kuongoza nchi.Baada ya hapa #Marekani ikaondoka mazima SOUTH KOREA na kuwaacha wandelee na
maisha yao huku ukiwahasa 'kutii sheria bila shuruti' na kufuata mienendo mema imfaayo bwana!
Lkn kule KASKAZINI Rusia na MJOMBA KIM IL SANG waliachiana nmba za simu na miamala ikazidi kutumwa kwa misaada ya kiuchumi kijeshi na kila kt So ndani ya muda mfupi KASKAZINI ilikuwa inakuwa kwa kasi kubw kila idara
Ukumbuke hapa bd wakorea waliishi pmj kasoro level za kiongoz tu
Ukumbuke hapa bd wakorea waliishi pmj kasoro level za kiongoz tu
Na kijiographia Marekani ni mbali na KOREA ukilinganisha na RUSIA ambaye ni jirani,so MAREKANI ndo anaonekana analazimisha kusambaza ajenda zake sehemu isiyo mhusu Ilipofika 1950 mzee KIM IL SUNG akapatakichwa,akajiambia βMaadam malekani kashaondoka,ngoja nizame chap kwa haraka
niwapige surprise nirudishe utawala wote korea iongozwe kwa mfumo mmoja".Hii tamaa ndio ilitufikisha hapa.Mahesabu yake aliona ni ngumu #Marekani kurudi kule,ukizingatia Walishaondoka kitambo.Alivusha majeshi yake hapa DMZ na Ndio ikazalisha vita ya miaka3
iliyoitwa KOREAN WAR 1950 hadi 1953.Kwasabab makubalino yalishakuwepo na kila upande
kuheshimiana,Umoja wa mataifa na Marekani ilibidi kuungana na majeshi yakatumwa kule.Watu milioni 3 wakapoteza maisha na mwisho wa vita HAKUNA KILICHOBADILIKA.
kuheshimiana,Umoja wa mataifa na Marekani ilibidi kuungana na majeshi yakatumwa kule.Watu milioni 3 wakapoteza maisha na mwisho wa vita HAKUNA KILICHOBADILIKA.
Hapa ndipo ile DMZ ikajengewa UKUTA RASMI na siasa na uongozi ukaanza kuaffect direct maisha ya watu kama binadamu.Wa upande wa chini wakabaki chini na wa juu wakabaki juu.Mpakani kwenye ule mstari,wakakubaliana kutenga eneo la Kilomita 2 kila
upande
upande
Ambalo kwa pmj linatengeneza 4km na ukajengwa ukuta na fensi ya maana
na Majeshi ya pande zote yaka sogezwa,wakawekwa wanyama wakali ndani ya ENEO HILO na DMZ hadi leo ni makutano ya MAADUI wawili ambao kimsingi ni ndugu.Lakini linatajwa kuwa eneo HATARI ZAIDI DUNIANI.
na Majeshi ya pande zote yaka sogezwa,wakawekwa wanyama wakali ndani ya ENEO HILO na DMZ hadi leo ni makutano ya MAADUI wawili ambao kimsingi ni ndugu.Lakini linatajwa kuwa eneo HATARI ZAIDI DUNIANI.
Wakorea kaskazini hadi leo wanajiita
JAMHURI YA KOREA kwasabab wanaamini korea ni yao na marekani wameingialia tu.Hadi leo pia mkorea kaskazini yeyote atakayetoroka kivyovyote na kufikia S.KOREA basi anapokelewa kama nyumbani."kitabu chenye episodes 50 tunauza kwa 10k tu "ππ

Wakati huo ukumbuke N.KOREA ndo walikuwa na maendeleo lakini Uvamizi huo ndipo walijikanyaga kwasabab soon baadaye miaka ya 90 UMOJA WA SOVIET ukapata janga ukavunjika,so misaada ikakatika ghafla kutoka kwa DANGA lake SOVIET.Gharama zote za
kuendesha viwanda na biashara zote
kuendesha viwanda na biashara zote
zikabaki chini ya serikali ya BABU yake Kim.wakati huu ndo Babu yake Kiduku anaanza kuonja joto ya jiwe.Ghafla yakatokea MAFURIKO makubwa ikafuatiwa na Njaa moja yaa kuua mtu pipo.Niliwahi kuielezea hii njaa
ilivyokuwa ya kukata na shoka.
Miili ya watu ilitapakaa mitaani,
ilivyokuwa ya kukata na shoka.
Miili ya watu ilitapakaa mitaani,
Serikali ilisema walikufa watu elfu 10 tu lkn mashirika huru ya kimataifa yalisema njaa iliua kati ya watu milioni 1-2. Ni robo ya wananchi wote wa wkt huo walikufa kwa njaa.Wengine wakawa wanakimbia nchi na hapa ndipo
zikaja LABOUR CAMP.
zikaja LABOUR CAMP.
Loading suggestions...