Madinidotcom
Madinidotcom

@madinidotcom

25 Tweets 1 reads Dec 08, 2022
NIGERIA ILIVYOFIKA ILIPO,BOKO HARAM,BIAFRA WAR
Sehemu 2
Ushauri wenu tumeupokea na tunaufanyia kazi
#PichaLinaendelea Sasa licha ya tofauti zooote hizo za LUGHA,UTAMADUNI na mfumo wa kiuongozi,haimaanishi hawa
jamaa wamewahi kuchukiana wala kupigana wala kushindwa kuishi pmj
In reality wanasema WAIGBO na WAYORUBA walikuwa washkaji kinoma.Shida kubwa ilikuwa kwa HAUSA FULANI ambao hawakuwa
wanaelewana sana na kule kwa kina BURNABOY wala huku kwa huyu jamaa wa MKOANI ambaye alikuja
kukinukisha Biaafra!Tho hawajawahi kupigana na hapo kabla mpaka
alipokuja mwamba wa kuitwa
FREDERICK LUGARD! Huyu jamaa ndiye alikuja na idea ya kuunganisha hawa jamaa 3 sehemu moja PENDA WASIPENDE.Kilichotokea ni kwamba huku chini kulikuwa na wasomi wengi kutokana na mfumo wa maisha
niliokuelezea so watu wengi walishapata akili ya kusema
“MKOLONI USITUAMBIE IVO SISI".kule kaskazini walienda sawa sana na mkoloni kwasabab kwanza alitaka kufanya INDIRECT RULE so mnabaki na vyeo vyenu na heshima na pia mnaongezewa shavu la UONGOZI zaidi .So Serikali ya kikoloni ikawaMIX
viongozi wengi wa KASKAZINI wakaletwa mikoa
Ya kusini kushika nafasi mbalimbali za UONGOZI serikali.Kwa hiyo wakaendelea kuishi hivyo kipindi chote cha ukoloni.Mashavu yalikuwa kwa
wahausa.Huu mchezo ulishafanyika nchi nyingi nyingine.Ikiwemo INDIA Wahindu walipolazimishwa kukaa na waislam na baadaye walipoondoka
waakacha ZOGO na KIZAAZAA mamilioni wa kauana na zikazaliwa nchi 3 INDIA na PAKISTAN na BANGLADESH.Kutokana na mtindo huu ndio maana wakati harakati za kumpinga mkoloni ni wazee wa KIYORUBA FUMMI RANSOME KUTI kwa kina Burnaboy na JAJA WACHUKU wa upande wa jamaa wa biafra
ndo walianza harakati kimya kimya
Wanasema viongozi wengi wa kaskazini enzi hizo walikuwa hawakubaliani kabisa na IDEA ya kudai uhuru kwasabab waliinjoy nafasi zao na waliona wangezipoteza kwenye serikali mpya ya kiafrica.Kutokana na kwamba wa kaskazini ndo wengi jamaa wa kusini
Na MKOANI waliona ni ngumu kupata uhuru so ikabidi SOUND itumike
Wakawacheki jamaa wa kaskazni kuwaambia“Wazee mnatuangusha "..Jamaa wa kaskazni HAUSA wakajibu “#MsituambieIvoSisi kwani kuna shida gani kukaa na wenzetu hawa ndugu wakoloni?"
so convo ilikuwa ya aina hiyo na mwisho jamaa wakaskazini wakatamka HADHARANI NA WAZI PEUPE KWAMBA “Sawa tunakubaliana kujiunga nanyi ndugu zetu tupate uhuruLAKINI…” hapo kwenye lkn ndopalikuwa PATAMU kwasabab wazee wa HAUSA FULANI walitaka SERIKALI MPYA itakayoundwa waachiwe
domination yao ileile kwenye ngazi ya uongozi kwasbabab ni wengi,lkn pia misingi yao ya kidini isiguswe.Mfumo wao wa kujitawala ubaki uleule ambao wakoloni waliuheshimu wakawaachia na after ukoloni ASIGUSE MTU"Kutokana na hamu kubwa ya viongozi hao wapigania uhuru walikubaliana
na sharti hilo na ndipo mwaka
1960 Nigeria Ikakabidhiwa mikononi mwa wenyeji ikiwa na MIKOA au Kanda 3 pekee.Iliitwa NORTHER REGION (Mkoa wa kaskazini) ambao ndipo HAUSA walipo na ndo sehemu kubwa ya Nigeria kiujumla.Then WESTERN REGION ambao ndo kina BURNA BOY na Simi waDuduke
Na mkoa wa 3 uliitwa EASTERN REGION ambapo ndipo kwa yule jamaa wa mkoani aliyekinukisha na bongo tukamsapoti. So waziri mkuu wa kwanza akatokea kaskazini anaitwa ALH.ABUBAKAR TAFAWA BALEWA chama chake aliita NORTHER PEOPLE’S CONCRESS.Hilo jina tu tayari washajitenga!
Waigbo nao wakapata muwakilishi wao Dr.Nnamdi Azikiwe akawa GAVANA (mambo ya fweza)ambaye alikuja kuwa Presidaa wa kwanza wa Nigeria (1963).Chama chake kiliitwa NATIONAL COUNCIL OF NIGERIA AND THE CAMEROONS.
(Angalia tofauti ya majina ya chama) WaYORUBA waliwakilishwa na Chief:
OBAFEMI AWOLOWO ambaye
alikuwa kiongozi wa chama kikuu cha UPINZANI.Unaweza kuona hayo majina ya vyama yanaonyesha ndugu zetu wa HAUSA walikeep it real.NORTHERN PIPO!So unaweza kuona lilikuwa bomu la wazi
kabisa kwamba mnajiita nchi moja lkn kila mmoja anachaguliwa na watu wa nyumbani. So Hausa waliendelea kukaa madarakani muda mrefu kwasabab wanashinda viti vingi kila mahali due to ukubwa na idadi yao.Hakuna aliyejali sana kwasabab kikubwa mkoloni kapita hivi.
So Waigbo ambao walikuwa wasomi na
Wayoruba ambao walikuwa na EXPOSURE ilibidi watoke kwenda mikoa ya kaskazini kutafta maisha kwenye nchi mpya waliyo kabidhiwa. So maisha ya kaendelea kama nchi moja yenye mikoa 3. Na ikadumu kwa miaka chini ya 3 tu.
Ghafla utofauti wa kielimu na uelewa ukaanza kuonekana kwenye maisha halisi, Waigbo na Wayoruba wakawa matajiri sana, na HAUSA kwasabab Dini ndo ilikuwa elimu yao kubwa,
walishindwa sana kwenda na system yamaisha/Serikali ambayo inatumia Elimu ya Darasani.BOMU LA WIVU LIKAANZA.
Viongozi wa kaskazini wakaanza kuongea wazi juu ya chuki yao dhidi ya ndugu zao wakisema wanapenda kudominate kila mahali.Miaka 4 baada ya uhuru ndo unamsikia jamaa SIR.AHMADU BELLO aliyekuwa kiongozi mkuu wa mkoa wa KASKAZINI (HAUSA-FULANI) akisema kwenye interview kubwa
hapendezwi na watu wa mikoni kudamshi macho mwake!kamcheki youtubeKifupi ni kama HITLER alivyo wachukulia wayahudi akawaua.Viongozi wa kaskazini walikuwa wakisema
wananchi wengi wa kusini wapo kaskazini wameajiriwa wengine wana maisha mazuri lkn wakaskazini waliopo kusini hakun
Remember 2% yao ndo walijua lugha ya serikali so you can see kwnn ilikua ngumu kwenda sawa na wenzao.
Hiyo ilikua km ajali tu lkn mwamba aliyekuja kuleta shida ni Meja
CHUKWUMA KADUNA NZEOGWU ambaye aliona INAF IS INAF baada ya rushwa na ubabaishaji kuwa mwingi.
Kivipi?
i told yu kwamba upande wa Kaskazni na ndugu mkoloni walikuwa DAMDAM Sasa miaka 5 tu ya mwanzo wananchi wengi walianza kuona jinsi mali za nchi
zinavyotembea.Urafiki wa viongozi hao na serikali za nje +kuoneka na kweny issue za starehe na mikutano na viongozi wazito ikaongezeka
Unashangaa kiongozi wetu anaona na na rais wa USA au anasafiri kila siku lkn hamuoni wala kusikia Dili gani waliongea
Ukumbuke ni nchi 1 ambayo wananchi wake wana exposure tofauti.Rushwa ilikua ya wazi serikalini.Mchomoa betri CHUKWUMA ambaye anatokea kwa yule jamaa wa biafra
(IGBO),akafanya mapinduzi ya kijeshi ghafla,akakamata WAZIRI MKUU ndugu BALEWA akapigashaba,Yule jamaa mkuu wa kaskazini aliyekuwa anaongea kwenye interview SIR.AHMADU BELLO AKALA SHABA,na yule Chief wa kule kwa kina BURNABOY akala SHABA
kifupi jamaa aliona mikoani 3 tu inaleta
shida akapoteza wote!Wkt hili tukio linafanyika Rais wa nchi alikuwa yule Ankali AZIKIWE ambaye mwanzo nilikwambia alichaguliwaga kuwa GAVANA WA BANK akitokea Mkoani. So jamaa ni IGBO na yeye alitakiwa auawe ili nchi iwe imechukuliwa na ndugu CHUKWUMA. Guess what??
hakuuawa kwasabab wkt tukio linatokea alikuwa nje ya nchi kwaajili ya Holly day.Utajiuliza kwa hiyo ndugu CHUKWUMA ALIFANYAJE? Na hapa ndio rasmi vita ya BIAFRA ikaanza
#PichaLitaendelea post ijayo
Tunapatikana audiomack kwa jina hilihili madinidotcom

Loading suggestions...