#UZI
FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO.
Najua Hii inawagusa Wajomba wengi Sanaa Sasa shuka nayo usisahau kupiga Retweet Vijana wengi waipate ikawasaidie🙏🙏🙏
FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO.
Najua Hii inawagusa Wajomba wengi Sanaa Sasa shuka nayo usisahau kupiga Retweet Vijana wengi waipate ikawasaidie🙏🙏🙏
Vidonda vya Tumbo vimekuwa tatizo kubwa kwa watu wengi Sanaa hasa Vijana mpaka watu wazima
Leo nataka nkupe madini japo kwa njia Fupi ili upate uelewa jinsi ya kukabiliana nayo.
🤒 Vidonda vya Tumbo Ni miongoni mwa magonjwa kweny mfumo wa mmeng'enyo wa chakula katika mwili
Leo nataka nkupe madini japo kwa njia Fupi ili upate uelewa jinsi ya kukabiliana nayo.
🤒 Vidonda vya Tumbo Ni miongoni mwa magonjwa kweny mfumo wa mmeng'enyo wa chakula katika mwili
Chanzo kinaweza kuwa Kongosho ambayo huhusika na Ulainishaji wa chakula, Kongosho hutoa Asidi ambayo kazi yake nikulainisha chakula kweny Utumbo
👽AINA YA VIDONDA VYA TUMBO
Kuna aina Mbili vya vidonda vya Tumbo
👉 Vidonda kweny Utumbo mkubwa (Gastric Ulcer)
👉 Vidonda kweny Utumbo mdogo (Duodenal ulcer)
CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO
🔰 Bacteria anayeitwa (Helicobacter Pylori)
🔰Kuwa na mawazo mengi.

🔰Matumizi ya Dawa za kupunguza maumivu kama (Aspirin,NSAIDs,Aleve, Ibuprofen na zingine)
🔰Ulaji wa Vyakula venye Asidi nyingi
🔰Kunywa Pombe na Vinywaji venye Kemikali nyingi
🔰Kutokula kwa mda maalum
🔰Uvutaji wa Sigara
🔰Kukaa na Njaa mda mrefu
🔰Kutafuna Tumbaku
🔰Ulaji wa Vyakula venye Asidi nyingi
🔰Kunywa Pombe na Vinywaji venye Kemikali nyingi
🔰Kutokula kwa mda maalum
🔰Uvutaji wa Sigara
🔰Kukaa na Njaa mda mrefu
🔰Kutafuna Tumbaku
WAJOMBA TUONE DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
❗Maumivu ya Tumbo
❗Maumivu ya Mgongo
❗Kiungulia Mara kwa mara
❗Tumbo kuwaka Moto
❗Tumbo kujaa Gesi
❗Kupata choo kigumu na chenye damu wakati mwingin
❗Kupungua uzito
❗Kukosa hamu ya kula
❗Kutapika na wakat mwingine Damu

❗Kushindwa kupumua vizuri
❗Kukosa hamu ya Tendo la ndoa
❗Kuharibika kwa Mimba
❗Kizunguzungu na Homa isiyopungua
❗Kichefuchefu
❗Maumivu kweny Chembe ya Moyo
❗UTI sugu.
❗Kukosa hamu ya Tendo la ndoa
❗Kuharibika kwa Mimba
❗Kizunguzungu na Homa isiyopungua
❗Kichefuchefu
❗Maumivu kweny Chembe ya Moyo
❗UTI sugu.
NJIA ZA KUEPUKA VIDONDA VYA TUMBO
✍️Acha Pombe
✍️Usivute Sigara
✍️Kula chakula kwa wakati na Mlo kamili
✍️Acha mawazo mengi
✍️Usitumie vyakula vyenye Asidi nyingi
✍️Kunywa Maji mengi
✍️Pata usingizi wa kutosha kuanzia masaa 7-9
✍️ Punguza kula vyakula vya Mafuta sana

✍️Kula vyakula venye Protein
✍️Epuka kula vyakula hivi
🤔 Pilipili
🤔 Vitumbua
🤔Dagaa
🤔Chips
🤔 Maharage
🤔Mihogo 😂😂😂😂
🤔Viazi na Ndizi za kukaanga
🤔Maziwa Mtindi
🤔Soda
🤔Nyama za kukaanga
✍️Epuka kula vyakula hivi
🤔 Pilipili
🤔 Vitumbua
🤔Dagaa
🤔Chips
🤔 Maharage
🤔Mihogo 😂😂😂😂
🤔Viazi na Ndizi za kukaanga
🤔Maziwa Mtindi
🤔Soda
🤔Nyama za kukaanga
Kama Ni mwathirika wa Vidonda vya Tumbo ukifuata njia zilizoelezwa hapo juu utakuwa vizur Sana
Vile vile vidonda vya Tumbo vina pona iwapo mtu atawahi kuvitambua na kutibu.
Muone Daktari akushauri na kukusaidia njia nzr na salama kwa ajili ya vidonda kabla havijakuwa sugu
Vile vile vidonda vya Tumbo vina pona iwapo mtu atawahi kuvitambua na kutibu.
Muone Daktari akushauri na kukusaidia njia nzr na salama kwa ajili ya vidonda kabla havijakuwa sugu
Mambo ya kuzingatia kabisaa Ni namna unavyoweza kupangilia ratiba ya chakula na vyakula vya kuliwa na wagonjwa wa vidonda.
Vikiwa sugu Husabaisha vifuatavyo
♣️Kansa ya Utumbo
♣️Kisukari
♣️Magonjwa ya Ini
♣️ Magonjwa kweny Figo
♣️ Magonjwa kweny Moyo
♣️Ugumba
Vikiwa sugu Husabaisha vifuatavyo
♣️Kansa ya Utumbo
♣️Kisukari
♣️Magonjwa ya Ini
♣️ Magonjwa kweny Figo
♣️ Magonjwa kweny Moyo
♣️Ugumba
Dawa ambazo zinasaidia mgonjwa kupata nafuu zipo na nsingependa kuweka hapa maana hizo utazikuta kwa Daktari ila mifano Ni kama hizi👇
💊Claritomycin
💊 Amoxicillin
💊 Metronidazole
💊 Proton-pump inhibitors like. Pantoprazole, Esomeprazole
💊 Omeprazole
Hapa Wajomba chali😂😂
💊Claritomycin
💊 Amoxicillin
💊 Metronidazole
💊 Proton-pump inhibitors like. Pantoprazole, Esomeprazole
💊 Omeprazole
Hapa Wajomba chali😂😂
Kwa Daktari utachukuliwa vipimo Kama hivi
✨Damu kweny mshipa
✨Choo kikubwa
✨ Endoscopy (Dr. Atamulika kwa kifaaa ndan ya Tumbo la mgonjwa)
✨ Biopsy kipande Cha kijinyama kitakatwa kweny kuta za Utumbo na kupimwa
✨Damu kweny mshipa
✨Choo kikubwa
✨ Endoscopy (Dr. Atamulika kwa kifaaa ndan ya Tumbo la mgonjwa)
✨ Biopsy kipande Cha kijinyama kitakatwa kweny kuta za Utumbo na kupimwa
Wajomba me naona hili somo litawachosha Sana limekaa kisayansi Sana Sasa Cha kuzingatia nyie nendeni kweny namna ya Kuzuia na vyakula ambavyo vinaleta shida
Ila mm najua hapo kweny MIHOGO hamtanielewa hata nifanye Nini 😂😂😂😂😂😂😂😂
Lakin Kama utabalace na kuishi navyo fresh
Ila mm najua hapo kweny MIHOGO hamtanielewa hata nifanye Nini 😂😂😂😂😂😂😂😂
Lakin Kama utabalace na kuishi navyo fresh
Wengi wanapata changamoto sana namna ya kuvitibu kwasabab vinajirudia Mara kwa Mara kutokan na mazingira tunayoishi jarb kufanya namna hata Kama sio Sasa wahanga Wakubwa ni Vijana maana kweny Ndoa Ni changamoto Sanaa goli moja chali.
Usisahau kushare uzi kwa retweet.
Dr.wa mchong
Usisahau kushare uzi kwa retweet.
Dr.wa mchong
Loading suggestions...