Unaanzisha website spesho kwa watu kukutumia habari za siri kuhusu watu binafsi au nchi kisha unazitrendisha.Wewe na wengine mnaamini haufanyi kosa kisa haushiriki direct kuhack au kupata habari hizo,siku moja WANAKUTIA MIKONONI.Hii ni story ya Julian Assange wa #WikiLeaks.
Dunia ilikuwa na bado ipo kwenye mgawanyiko kumhusu blaza Julian lakini USA na UK wameshakubaliana alichofanya ni KOSA KISHERIA, platform yake ilikuwa 'inahamasisha' watu kuvunja sheria. Uwepo wa #Wikileaks ni chanzo cha wahusika waliomvujishia Clip na story kufanya hivyo.
Kumjua Julian na mchongo wake mzima jipatie kitabu whats app 0712760276 au hii hapa Youtube youtu.be
#PichaLinaanza
Usisahau Leo saa 9alasiri hadi 10jioni tukutane @earadiofm 📌
#PichaLinaanza
Usisahau Leo saa 9alasiri hadi 10jioni tukutane @earadiofm 📌
Loading suggestions...