ClassMonitor👩‍⚕️
ClassMonitor👩‍⚕️

@DaktariWawatoto

11 Tweets 44 reads Aug 27, 2022
NGUVU ZA KIUME NA TIKITI MAJI 🍉
#RETWEET 🔁
🌡️Tikiti Maji ni Tunda Ambalo Kitaalamu Tunaliita Citrullus Lanatus,92% n Maji
🌡️Tunda Hili ni Moja ya Chanzo cha Protini, Fati ,Nyuzinyuzi ( fiber ) ,Calcium, Phosphorus, Iron, Vitamin A, B6, C. Potasium, Magnesium, Carotene
FAIDA YA TIKITI KWENYE NGUVU ZA KIUME🍆
Tikiti Maji Linasemwa Kuwa ni Mkuyati wa Asili . Kwenye Tikiti Maji Kuna Vitu Vitatu Mhimu Sana Kwa Afya ya Mapenzi Navyo ni LYCOPENE,BETA-CAROTENE na CITRULLINE Ambavyo Husaidiwa Kuweka Mishipa ya Damu Katika Hali ya Utulivu.
Tikiti Maji ni Viagra ya Asili Inayoweza Kutumika Kuongeza Hamu ya Tendo la Ndoa Kwa Watu wa Jinsia zote Mbili Bila Kukuacha na Madhara Yoyote Mabaya.
Kwenye Mbegu 🍉Kuna Kitu Kngine Kinaitwa ‘L-ARGININE Ndicho Ambacho Huhusika na Kuongeza Nguvu za Kiume
Mbegu za Tikiti Maji ZImeonyesha Matokeo Mazuri Matika Kuimarisha Nguvu za Kiume Hata Kwa Wazee Kabisa.
🍉Lina NITRIC OXIDE Ambavo Huongeza Mzunguko wa Damu katika Viungo Vya Uzazi 🍑🍆
Unachohitaji ni Kula Tikiti Maji Kila Siku Sambamba na Mbegu Zake na Utaona Tofauti.
Mbegu za Tikiti Maji ZImeonyesha Matokeo Mazuri Matika Kuimarisha Nguvu za Kiume Hata Kwa Wazee Kabisa.
🍉Lina NITRIC OXIDE Ambavo Huongeza Mzunguko wa Damu katika Viungo Vya Uzazi 🍑🍆
Unachohitaji ni Kula Tikiti Maji Kila Siku Sambamba na Mbegu Zake na Utaona Tofauti.
FAIDA ZINGINE ZA KUTUMIA🍉
🍉Kwa Wagonjwa Walio Upungufu wa Maji Mwilini Tunda Hili ni Bora na Muhimu Sana Kwao Kuokana na Kuwa na Asilimia 92 Ya Maji na Madini
🍉Husaidia Afya Ya ngozi Maana Lina Vitamini A na C , A Husaidia Ukuaji wa Tishu za Mwili Ikiwemo Ngozi na Nywele
Vitamin C Husaidia Katika Utengenezaji wa Kolageni Mwilini Pia Huponya Kwa Haraka Tissue Zilizo naa Vidonda (Ngozi)
🍉Mbegu za 🍉 Zina Vitamini B Ambayo Husaidia Kubadili Chakula Kuwa Katika Mfumo wa Nishati
🍉Husaidia Kwa Kiasi Kikubwa Kurekebisha Mmeng'enyo wa Chakula
sababu ya Kuwa na Kiwango Kikubwa cha Maji na Fiber Ambayo Huondoa Matatizo ya Kukosa Choo Vilevile Huweka Sawa Mfumo wa Fahamu
🍉Utumiaji wa Tunda Hili au Juisi Yake Huondoa Maumivu ya Misuli Pamoja na Uchovu Kwa Haraka
🍉 Huondoa Sumu Mwilini
🍉Hukinga uharibifu wa seli
🍉Huboresha afya ya meno na fizi
🍉Vitamini B6 husaidia ubongo kufanya kazi vema
🍉Hubadilisha protini kuwa nishati
🍉Chanzo cha madini ya potasiamu
Husaidia kushusha na kuponya shinikizo la juu la damu
🍉Hurahisisha mtiririko
wa Damu
🍉Huzuia ugonjwa wa baridi yabisi ya moyo (heart stroke)
🍉Hutibu kiseyeye (scurvy)
🍉Huimarisha mifupa
🍉Hufanya ngozi ing’ae
🍉Tunda zuri kwa mwenye ugonjwa wa moyo
🍉Huzia na Kupunguza Attack Za Pumu
🍉Vitamini A ndani yake huboresha afya ya macho
Tikitiki ni TUNDA safi Sana Kwenye Afya Ya Uzazi Acha Kutumia Viagra Karibu Kwenye Chama Cha Tikiti Maji
#ElimikaWikiendi. @ElimikaWikiendi
Ahsante Kwa Kujifunza usisahau Ku RETWEET

Loading suggestions...