ClassMonitor👩‍⚕️
ClassMonitor👩‍⚕️

@DaktariWawatoto

9 Tweets 202 reads Oct 28, 2022
FAIDA ZA KULA TANGO MWILINI💗
#RETWEET KWA FAIDA YA MWENGINE.🙏
🥒Tango ni Chanzo Kizuri cha Vitamin B Mwilinini
🥒Maji Ya Tango Husaidia Kuondoa Sumu Mwilini
🥒 Kwa Sisi Walevi Inatibu kabisa hangover unaweza ukatafuna vipande kadhaa vya matango kabla ya kwenda kulala.
🥒 Tango Husaidia Kuondoa Harufu mbaya Kinywani😤
🥒Tango Husaidia kupunguza Mafuta Kwenye Mishipa Ya Damu na Kudhibiti Shinikizo la Damu (Low na High BP)
🥒Tango Huwasaidia Wagonjwa wa Kisukari kwa Kutengeneza insulin Ambayo Hisaidia Kudhibiti Kiwango cha sukari Mwilin
🥒 Tango Husaidia Kupambana/Kupunguza Aina Mbali Mbali za Kansa Kama Kansa ya Matiti,Kansa ya Mfuko Wa Uzazi,Kansa ya Tezi Dume, na Kansa ya Mayai Ya kike(ovarian)
🥒 Tango Lina Vitamini A,B1,B6,C,D Folate, Calcium, Magnesium, na Potassium
🥒Tango Husaidia Moyo Kupiga Mapigo
Katika Hali ya Kawaida Kwa Sababu Lina Kiwango Kikubwa Cha Potassium na Kama Tunavyojua Potassium ndo chakula Cha Moyo Ambacho Kinauwezesha Moyo Kupiga Mapigo yake ya Kawaida na Kuuweka katika Hali Nzuri kwa Hiyo Matango ni Matunda Safi Sana Kwa Watu Wenye Matatizo ya Moyo
🥒Juisi Ya Tango Ikichanganywa na Karoti Pamoja na Tangawizi Husaidia Kutibu Gout na Baridi ya bisi Kwa Kupunguza Kiwango cha Tindikal( Uric Acid)
🥒Kamba kamba Za Kwenye Tango Husaidia Husaidia Mwili Kuondoa Sumu Kwenye Mfumo wa Chakula.
🥒Tango Husaidia Kupunguza Uzito Mwilini
🥒Tango Husaidia Kuweka Sawa Mmeng'enyo wa Chakula, Kupunguza Matatizo ya Tumbo Kama Vile Kuvimbew,Tumbo Kujaa Gesi,Husadia katika matibabu ya vidonda vya Tumbo na Husaidia Kurahisisha Ufwonzajwi wa Protein Kutokana na Uwepo wa Kiwezeshaji Cha Erepsin Enzyme
🥒Tango Husaidia Kupunguza Msongo wa Mawazo kwa Sababu Lina Kiwango Kikubwa Cha Vitamin B Ambayo Husaidia Kuboresha Utendaji Kazi wa Mishipa Mbalimbali ya Fahamu Mwilini na Kuondoa Hatari ya Mtu Kuathirika na Msongo wa Mawazo
🥒Vilevile Tango Lina Kiwango Kikubwa Cha Vitamin C Husaidia Kuondoa Matatizo Yatokanayo na Ukosefu wa Vitamini C Kama Vile Upungufu wa Damu kwa Watoto,Kuota Meno na Mifupa vibaya,Kutokwa na damu kwenye Fizi n.k
Mwisho🧵USISAHAU KU RETWEET.

Loading suggestions...