"Sheria ipo lakini tumeboresha Kanuni ambapo tutakuja na kanuni zinazoweka utaratibu mzuri kwasababu kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ambayo inaruhusu uhuru huu wa vyama vya siasa kufanya shughuli zake pia imeeleza haja ya Waziri
mwenye dhamana kuweza kuongeza, kuboresha au kuweka masharti ambayo yatafanya utekelezaji wa yote pia kuangalia muhstakabali wa amani na utulivu wa nchi"
"Na pia tunakwenda sambamba ana majukumu ambayo tumepewa hati idhini ya Rais ikiwemo kusimamia sheria ya vyama vya siasa sura no 258 inayoeleza namna shughuli za siasa zinavyofanyika kama usajili wa vyama vya siasa, uwepo wa Baraza la vyama vya siasa na Msajili wa vyama vya siasa
pia kuna sheria ya Uchaguzi sura no 343"
"Marufuku ya katazo la mikutano ya hadhara haikuja tu ilikuja baada ya kuona kuna matokeo hasi kwa utulivu wa nchi, tumemaliza uchaguzi serikali
"Marufuku ya katazo la mikutano ya hadhara haikuja tu ilikuja baada ya kuona kuna matokeo hasi kwa utulivu wa nchi, tumemaliza uchaguzi serikali
iliyochaguliwa na wananchi inaingia madarakani inakwenda kutekeleza yale waliyoaahidi kwa wananchi wake"
Loading suggestions...