ClassMonitor👩‍⚕️
ClassMonitor👩‍⚕️

@DaktariWawatoto

11 Tweets 9 reads Jan 11, 2023
Faida Za Kutumia Tangawizi🍂
#RetweeetPlease🙏
🗯️Tangawizi ni Zao Ambalo Hutumika Kama Kiungo Katika Chakula na Unga wake Hutumika Katika Vinywaji Kama Juisi,Chai na Katika Chai Pia
Tangawizi Iliorodheshwa na Serikali Ya Marekani Kama Dawa Kwa Ajiri Ya Binadamu Mwaka 1873
Vitamini na Madini Yalimo Kwenye Tangawizi
✨Vitamini B3 (Niacin) na B6 (Pyridoxine)
✨Madini ya Chuma (Iron)
✨Madini ya Potassium na Sodiamu
✨Madini ya Magnesium
✨Vitamini C
✨Madini ya Phosphorus
✨Madini ya Zink
✨Vitamini B complex,A,E
✨Madini ya Calcium na Carotene
FAIDA
💥Huondoa Sumu Kwa Haraka Sana Mwilini
💥Huondoa Uvimbe Mwilini
💥Huua Vimelea Mbalimbali vya Magonjwa na Mayai Yake
💥Huondoa Maumivu ya Koo
💥Huua Bakteria Wa Aina Nyingi Mwilini Hata Bakteria Anayesababisha Taifodi
💥Huondoa Maumivu Mbalimbali mwilini
💥Huondoa Homa Baridi(chilla)
💥Hutibu Saratani Ya Tezi Dume.
-Tangawizi Huua Enzyme ya 5-LO Ambayo Huwa ni Chakula Cha Seli za Kansa ya Tezi Dume na Kupelekea seli za Kansa Kufa
💥Husaidia Kuzuia Shambulio la Moyo
💥Hushusha Kolestero(cholesterol)
💥Hutibu Shindikizi la Juu la
Damu(hypertension)
💥Husafisha Damu
💥Huzuia Damu Kuganda
💥Huongeza Msukumo wa Damu
💥Husaidia Kuzuia na Kutibu Kansa ya Titi
💥Husaidia Kutibu Kansa ya Mapafu
💥Hutibu kansa ya Kizazi na Kwenye mirija Ya Kizazi
💥Huzuia Kujizalisha Kwa Bakteria Anayesababisha Madonda ya Tumbo
💥Ni Dawa Nzuri Kwa Kansa Ya Damu
💥Huzuia Kuongezeka Kwa Seli za Kansa ya Kongosho
💥Huondoa Gesi Tumboni Kiurahisi na Kwa Haraka Zaidi
💥Ni Dawa Nzuri Kwa Kuondoa Hangover na Uchovu
💥 Husaidia Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula
💥Huondoa na Kunguza Msituko kwenye Utumbo Mpana💥
💥Huondoa Kuunguruma Kwa Tumbo
💥Husaidia Kuzuia Kuharisha
💥Hutibu Tatizo la Miguu Kuwaka Moto
💥Huimarisha Afya ya Figo
💥Hutibu Maumivu yaa Tumbo wakati wa Hedhi
💥Humarisha Afya ya Ubongo
💥Husaidia Kupunguza Uchovu Unaotokana na Matibabu ya Mionzi
💥Hulinda Kuta za Moyo
💥Husaidia Kuongeza Kinga Ya mwili
💥Husafisha Utumbo Mpana
💥Hutimu Tatzo la Kupata Choo Kwa Shida na Husaidia Kutibu Kansa Zinazosababisha Kupata Choo Kigumu Kwa Mda Mrefu
💥Hulinda Mishipa ya Damu
💥Husaidia Kuongeza Afya ya Nywele,Ngozi,Kucha na Meno
💥Hutuliza Dalili za Pumu
💥Huweka Sawa Mfumo wa Upumuaji
💥Husaidia Kuondoa Maumivu Yanayotokana na Kukaa Au Kusimama kwa Mda Mrefu
💥Huzuia Kutapika na Kuondoa Kichefuchefu Kwa Haraka
💥Hupunguza Kiwangu cha Sukari Kwenye Damu
NGUVU ZA KIUME🍆
🤝Nombeni Wauzaji Msipandishe Bei ya Tangawizi😎
💞Tangawizi Huimalisha Mzunguko Wa Damu na Kufanya Damu Ifike Ya Kutosha Kwenye Kichwa Cha Chini🍆na Kufanya Kichwa Kisimame.
💞Tangawizi Huongeza Nguvu Za Kiume Kwa Kutibu Tatizo la Kutoa Shahawa kwa Haraka
MATUMIZI TANGAWIZI
🍂Unaweza kutumia kama Kiungo Katika Chai
🍂Unaweza Kuchanganya Kwwnye Juisi ya Kutengeneza mfano Parachichi ,Embe N.K
🍂Unaweza Kuchanganya Unga Wake Kwenye Maziwa au Asali
🍂Unaweza Kutafuna Ikiwa Mbichi
#ElimikaWikiendi @ElimikaWikiendi
MWISHO🙏

Loading suggestions...