Unaagiza MZIGO wa nguo wenye thamani ya TZS 43,200,000/- unalipa kodi TZS 26,892,000/-. Unadhani huyu mfanyabiashara kurejesha FAIDA yake atapaswa kuuza mzigo kwa kiasi gani ili alipe pango, mapato, LUKU etc? WAJINGA ndiyo WALIWAO. Safi Rais @SuluhuSamia kulipa kodi ni uzalendo.
. @TRATanzania wanafanya hivi miaka yote, hapo bado TBS, service levy 0.3% ya mauzo (haijalishi umepata faida) bado gharama ya usafirishaji kutoka bandarini ambayo ina kodi kibao... Yote hii ni uvivu tu wa kufikiri, wanakamua wachache badala ya kuongeza tax base ili kodi zipungue
Ukiongeza tax base, unakamua wengi, kwa rates ndogo.. hivyo kuwajengea uwezo wa kukuza kile wanachokifanya, bila wao kuumia sana na serikali inakuwa na uhakika wa pato kubwa zaidi.
Hizi ni principles ndogo tu za uchumi,alibi hawa akina @mwigulunchemba1 wamegoma kutumia akili.
Hizi ni principles ndogo tu za uchumi,alibi hawa akina @mwigulunchemba1 wamegoma kutumia akili.
Loading suggestions...