Millambo®
Millambo®

@Millambo_

13 Tweets 48 reads Feb 10, 2023
Achana na Mkongo. 😎 Fanya haya Mambo 8 KUJITIBIA na KUPONA kabisa Nguvu za Kiume.
Wanaume tumeumbwa na ka-ego fulani. Kuna mambo yanayotugusa na kutuumiza lakini hatutataka kuyazungumzia. Ndo tulivyo
Siri hizi 8 zitakusaidia KUPONA na kuwa FIT 24/7
Retweet Wajifunze Wengi 🙏
🟥Hakuna dawa ya nguvu za kiume.
Huko nje utauziwa kila kitu ukiambiwa ni dawa.
Ukisikia mtu anakwambia atakuuzia dawa. Ni uongo.
Huwezi kupona kwa kunywa dawa.
Watakupa matokeo ya muda mfupi tu. Utarudikule kule.
🟥Kupona Nguvu za Kiume unatakiwa kubadili LIFESTYLE.
Anza kula mlo kamili na vyakula vya kukupa nguvu.
Anza kufanya mazoezi kujijenga vizuri.
Kunywa maji mengi ya kutosha.
Pumzika za kutosha. Pata usingizi wa kutosha.
Acha kutafuta shortcut ili upate matokeo ya kudumu.
🟥Ongeza matumizi ya vyakula vifuatavyo.
Ndizi - Itakupa Potassium
Tikiti maji – Litakupa L-citrulline
Vitunguu maji&swaumu – Vitakupa Allicin
Spinach – Itakupa Folate
Mbegu za maboga – Zitakupa Zinc na Magnesium
Hivi baadhi tu. Kuna vyakula vingi vitakusaidia sana.
🟥Ongeza homoni ya Testosterone 💪
Hii ni homoniya kiume. Inakufanya unakuwa mwanaume kweli.
Fanya mazoezi na hasa ya kunyanyua uzito.
Kula protini kwa wingi na mafuta bora: ie. Nyama n,k
Ongeza Vitamin D. Ota jua.
Punguza msongo wa mawazo...
Pumzika vya kutosha. Lala vya kutosha.
Punguza uzito.
Punguza pombe.
Ukiweza tumia supplements: Zinc na magnesium n.k
🟥Punguza matumizi ya vyakula hivi.
Chips
Soda
Sukari
Energy drinks
Juisi za matunda
Mafuta ya mbegu za mimea.
Vyakula vingi vya wanga: ngano n.k.
🟥Acha Tabia hizi
Kuangalia porn kunakunajisi. Akili yako inakuwa addicted na raha ya kuona kuliko kufanya.
Kujichua ni kujinajisi. Hauwezi kuhimili jotoridi asilia, ndo maana unawahi.
Kuchukulia tendo kama kipimo au mashindano. Relax. Enjoy 😎
Ulevi. Acha au punguza.
🟥Fanyia kazi saikolojia yako.
Wengine hawana shida za nguvu za kiume. Ni saikolojia tu.
Ongeza confidence yako. Jiamini.
Jifunze hapa: youtu.be
Jitahidi mpenzi wako in a way awe submissive.
Usiende kwenye tendo kumprove mtu. Go enjoy...
Tendo linaanzia kichwani, ukiwaza sana performance jogoo atasahau kuwika.
Take it easy. Wakati wa show jitahidi kuenjoy process bila kungalia matokeo.
Vikija kadhaa, fresh 😅
🟥Kama una magonjwa haya yatibu kwanza.
Unaweza kusumbuka na nguvu za kiume, kumbe ni ugonjwa unakukwamisha.
Tibu magonjwa haya:
Kisukari
Ngiri
Magonjwa ya moyo
Magonjwa ya mishipa
Mvurugiko wa homoni
Tezi dume n.k.
Kuna sababu nyingi za upungufu wa nguvu za kiume.
Jichunguze kwa kupitia uzi huu na uanze kufanyia kazi kinachokuhusu.
Sio kila mtu anakuwa na sababu zile zile. Kila mtu ana changamoto zake.
Ili kujifunza zaidi kwenye Bio Hacking, personal development and branding:
FOLLOW ME: @millambo_
youtu.be
Kindly RETWEET Wengi wajifunze 🙏

Loading suggestions...