Millambo®

Millambo®

@Millambo_

I Teach Biz Owners, Entrepreneurs, Coaches and Consultants how to create converting content & sell high ticket offers.

Dar es Salaam, Tanzania t.co Joined May 2015
324
Threads
0
views
26.5K
Followers
34.5K
Tweets

Threads

NAMNA YA KUAGIZA MZIGO ALIBABA A-Z 💡 Based on True Story... Hapa nakupa process nzima A-Z. 🧵Full Madini... (Part 2) RETWEET Wengi Wajifunze 🙏 https://t.co/UQilqfalsa

NAMNA YA KUAGIZA MZIGO ALIBABA A-Z 💡 Based on True Story... Ilinichukua miezi 6 kuweza kuagiza mzigo wangu wa kwanza Alibaba. Sio kwamba nilipenda, hapana. Wana wanabana code ki...

Ijumaa hii huko FB kuna mama alipikwa kupikwa. Jamii zetu zimeingia ubaridi. Tunakula vyakula vinavyotuangamiza. Magonjwa yatokanayo na chakula yamekuwa mengi na khali ni mbaya...

NAMNA 10 ZA KUJIFUNZA NA KUKUA KILA SIKU... Kila Siku Hakikisha Unayaishi haya... Chapa RETWEET Wengi Wajifunze. 🧵📢 https://t.co/zuWCufXMI8

SHERIA 20 ZITAKAZOKUSAIDIA KUDEAL NA NDUGU IPASAVYO😎 Moja ya Changamoto kubwa ni namna ya kuishi na ndugu. Yako mengi ya kujifunza. Hizi hapa nondo 20 zitakusaidia kupunguza s...

Hakuna kitu kigumu kwa kijana kama kupata Wazo la Biashara...🧠 Nimekusogezea hapa ideas kadhaa unazoweza kuanza kupiga hela bila kuwa na mtaji wowote. Mtaji ni simu na bundle tu....

Kwanini Usinywe JUISI YA MATUNDA ya Kutengeneza Mtaani au Nyumbani 😎 Utakuwa umewahi kusikia, SUKARI ni adui namba 1 wa afya. Si ndio 🙅‍♂️ Sasa, nimekuelezea kwa lugha nyepesi ka...

Achana na Mkongo. 😎 Fanya haya Mambo 8 KUJITIBIA na KUPONA kabisa Nguvu za Kiume. Wanaume tumeumbwa na ka-ego fulani. Kuna mambo yanayotugusa na kutuumiza lakini hatutataka kuyazu...

Sheria 40 Mwanaume Anapaswa Kuziishi😎 Kama bado mvulana, achana nazo. 🧵Time 📢 RETWEET Wengi Wajifunze 🙏 https://t.co/tCTEaiTuji

VYUO 50 VYA MTANDAONI UNAVYOWEZA KUSOMA CHOCHOTE BURE...📢 Kusoma na kupata maarifa sio lazima ukae darasani. Sasa hivi unaweza kucheza na Laptop ukiwa zako gheto ukapiga pindi. H...