Fuatilia uzi huu na uweze kuanzisha biashara ya kuagiza mizigo kutoka China na kwingineko.
Ilinichukua miezi ipatayo sita kuweza kupata ujasiri wa kunuanua Alibaba.
Nakumbuka ilikuwa mapema July, 2022.
Nilipata interest ya kuanzisha biashara ya kuagiza mizigo kutoka China.

Kama mtu yeyote, hofu ndiyo kitu hurudisha watu nyuma.
Je, itakuwaje, nani ataniongoza, na nikipigwa je⁉️
Nilianza kusaka watu wanaoagiza ili wanipitishe fasta ili niweze kuagiza.
Tafuta. Wapi. Hawaonekani. Ukimpata anakwambia na yeye huagiziwa 😃🙌

Ilinichukua zaidi ya mwezi kutafuta mtu wa kunielekeza kwa mdomo.
Dah lakini wapi.
Nikwambie tu, watu wapo wengi wanajua haya mambo na wanafanya sana.
Ila kumpata sasa wa kukaa na wewe ili akusaidie mpaka uanze ni ishu.
So, itabidi umejipanga.

Ndo maana uzi huu unapaswa uulipie kabisa 😅.
Siku moja nilikutanishwa na dada mmoja anauza vitu kutoka Alibaba.
Dah mzuka ulikuwa juu sana, kwamba sasa mambo yangu yatakuwa sawa.
Nakumbuka ilikuwa tarehe 5-08-2022, majira ya asubuhi saa nne hivi, Nimekaa zangu Hawaii pub

pale Baruti nikimsubiria huyo dada.
Baada ya dak. chache mwamba huyu hapa, sister akafika. Kumuona tu hivi nikajua uhakika. Tayari nishaomoka 🤑
Tukasalimiana, na kuanza mazungumzo.
Ananniambia, njia rahisi ya kuanza kuagiza mizigo ni kuwaamini watu wanaoagiza.

Anananimabia, yeye huwa anaagiziwa na ndugu zake.
So huwa hafanyi mwenyewe.
Na hajui process ikoje.
Baada ya muda nikajiridhisa kabisa kuwa pale nilikuwa sipati kile ninachotafuta.
Mimi nilikuwa nataka mtu wa kunambia ingia hapa, fanya hivi, nenda pale, inakuwa hivi... 😃

So, baada ya kuelewa hakuna kitu naambulia, nikapunguza maswali.
Ili mambo yasiwe mengi.
Basi tukamaliza mazungumzo yetu na kuagana.
Nilipotoka hapo, nilikata tamaa kabisa ya kupata usaidizi tena.

Basi nikaanza kujifunza Alibaba inavyofanya kazi.
Nikajifunza namna ya kupata muuzaji.
Nikajifunza tofauti ya supplier na manufacturer.
Nikajifunza watu wanavyotapeliwa.
Nikajifunza namna ya kupunguza risk za kuibiwa.
Namna ya kulipia.
Na mambo mengine mengi.

Sasa haya yote utayapata kwenye uzi huu.
Fuatana nami... 🧠📢
Kuna Mambo ya Lazima Kuzingatia kama Unataka Kununua Alibaba.
Tuzame ndani tuyachimbe...👇

- Kujua namna ya kutafuta bidhaa.
Nilianza kujifunza namna ya kutumia Alibaba na kusearch for goods.
Nilisaka mpaka nikapata bidhaa ninayoitaka.
Uzuri nilikuwa sina mipaka.
So, ningeagiza chochote tu chenye soko zuri.

Kupitia Alibabab unaweza kuona bidhaa zinazotoka sana.
Cha muhimu kuangalia bidhaa inayoweza kuuzika kwenye mazingira ya Bongo.
Iwe na bei rafiki.
Iwe user friendly kwa Wabongo na,
Iendane na maadili na maisha ya Bongo.
Cha msingi - FAIDA.

-Kutafuta muuzaji.
Baada ya kupata bidhaa nikaanza kusaka supplier, yaani Mchina atakayeniuzia bidhaa.
Kwanini nilianza na kusaka bidhaa kwanza. Kwa sababu wauzaji huwa ni wengi sana. So, ukipata bidhaa inakuwa rahisi kuona ununue kwa nani.

Hapa sasa kulikuwa na kimbembe, wapo wauzaji wengi sana wa bidhaa ile ile.
Kazi kubwa ni kuhakikisha unapata mwenye quality na bei chee.
Fanya utafiti wa kutosha ili kupata deal poa

- Ukaja umuhimu kazi ya kujifunza tofauti za wauzaji.
Sio kila muuzaji Alibaba ni mzalishaji (manufacturer),
Wengine ni wasambazaji (suppliers) tu.
Mzalishaji ni yule mwenye kiwanda chake.
Unapompa kazi, anaingia mzigoni kuzalisha mwenyewe kiwandani kwake.

Faida ya kufanya kazi na mzalishaji ni kuwa, bei zake mara nyingi huwa ni poa sana.
Maana anakupa bei ya kiwandani kabisa.
Lakini bado una uwezo wa kumchekecha na akakupunguzia vile vile.

Suppliers (wasambazaji), hawa ni makampuni, kazi yao ni kutafuta bidhaa bora na kuziuza mtandaoni.
Kwa mfano. @BajabirLogistic ikiamua kuwa supplier wa mchele.
Atanunua mchele kutoka kwa wazalishaji na yeye anauza kama wake.

Sasa changamoto hapa ni kuwa mara nyingi suppliers hawawezi kuwa na bei rafiki kuliko mzalishaji, watakupiga tu.
So unapoagiza mzigo, pambana uweze kupata mzalishaji wa kwanza kama utaweza.

-Kumchunguza na kumuhakiki muuzaji (supplier/manufacturer)
Kazi nyingine pevu ni kuhakikisha muuzaji wako ni legit yaani wa ukweli sio muongo muongo.
Hapa angalia yafuatayo ili kujua kama ni muuzaji wa ukweli:

…Anatakiwa kuwa na nembo ya dhahabu (ambayo huwa wanainunua) kama blue tick tu za @inframe_tz 😃 Maana yake sio kila mtu anaweza lipia.
…Anatakiwa kuwa na followers kadhaa ili kuonesha watu wanamkubali.

...Unaweza pia kujiridhisha kwa kuangalia muda ambao amehudumu hapo Alibaba. Japo hii sio lazima sana maana unaweza kukuta supplier ni mpya lakini ni legit.
NEXT... PART 2 📢
Ili kujifunza zaidi kwenye Expert Business na Personal Development:
FOLLOW ME: @millambo_
Join our Fast growing Community to learn and become the better of yourself.
t.me

Loading suggestions...