5 Tweets 725 reads Mar 07, 2023
FULL MOON RITUALS...(2)
Unaweza kuitumia siku ya leo kuondoa matatizo, nuksi, mikosi na vifungo vya kiroho kwa kufanya ibada au maombi.
Chukua maji yaanike(yaweke nje) wakati wa usiku yapigwe na mwezi.
Sema unayoyataka katika hayo maji kisha yaache yakae hapo nusu saa au zaidi
..ata dakika 10 sio mbaya pia.
Ukienda kuoga kuoga utakua umesafisha mwili wako...ukifanya kipindi hiki chote cha mwezi mpevu(FULL MOON) Utakua umefunguka kabisa nakuhakikishia.
Oga bafuni ila kama hakuna bafu we oga nje au kwenye beseni we oga hata chooni bhanaπŸ˜‚
ila nguvu yake haitokua kubwa kama ukiogea hizo sehemu zengine.
Unaweza fanya kama hivo pia na maji hayo ukahifadhi ukawa unanawia uso kila siku na kuyanywa.
Kama una bracelet, neckless nk unaweza anika nje leo usiku ili kuondoa negative energies zilizopo kwenye hivyo vitu.
Unaweza toka ata nje tu leo ukatizama mwezi hata nusu saa inaweza kukupa afya nzuri ya akili yako.
Namna nyengine niliandika pia cheki chini

Loading suggestions...