Mfalme πŸ‘‘πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Mfalme πŸ‘‘πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

@MfalmewaX

8 Tweets 44 reads Apr 04, 2023
NJIA 6 ZA KAWAIDA ZA KUONDOA TATIZO LA WA NGUVU ZA KIUME
UZI 🧡 Mfupi
1. Kula Lishe Bora.
Punguza matumizi ya sukari na vyakula vya ngano, Ongeza zaidi Matumizi ya Matunda, mboga mboga.
2.Epuka Vinywaji Vyenye Kafeini.
Mfano wa vyakula/vinywaji vyenye kafeini na chai ya kahawa, soda nyeusi zote, malta, redbull, chokoleti n.k
Kwanza Chai asubuhi haina Umuhimu.
3.Tumia Kitunguu Swaumu Kwa Wingi.
Huongeza msukumo wa damu kwenda kwenye uume.
Tafuna Punje 3 kila unapoenda kulala au kukatakata vipande vidogo dogo kisha unywe na maji.
4. Ndizi
Isipite siku Bila Ndizi (nitawaletea Uzi 🧡 wake)
Ndizi zina Magnesium, vitamini B1 na vitamini C, ni muhimu kwa ajili ya kutengeneza mbegu za kiume
5. Mbegu Za Maboga
Madini ya zinki huongeza mbegu za kiume na homoni ya testosteroni.
Zina vitamini B, C, D, E, na K ambazo zote ni Muhimu katika kuongeza idadi ya mbegu za kiume.
6. Parachichi
vitamin E & huzalisha Sanahomoni za kiume.
Tafiti zinaonesha watumiaji wake, huwa na Msisimko Mkubwa wa mapenzi.
Nifollow @ommyfitness
Kwa Video za Mazoezi Follow Me;
Tafadhari Subscribe YouTube
youtu.be
TikTok;vm.tiktok.com
Instagram;instagram.com
Facebook page ; facebook.com

Loading suggestions...