UZI. (Muhimu)
Tafiti zinasema ni watu 14 tu kati ya watu 10,000 ndio wanatabia asili ya kuweka akiba na hao ndio wanaofanikiwa kirahisi. Sasa kama wewe unatatizo la kushindwa kuweka akiba kama mimi basi
Twende sawa.๐๐ฟ
kama bado hujanifollow basi nifollow sasa
@Deodravis @Deodravis @Deodravis
Nami nitakufollow back.
Tuendelee. ๐๐ฟ
Leo nimekuletea njia Tano ambazo zimewasaidia wengi kujiwekea akiba na kufanikiwa ๐๐ฟ
Hapa inabidi ujipe kipaumbele mwenyewe lakini ufuate vipengele hivi.
๐๐ฟ Orodhesha mapato yako yote ya pesa
๐๐ฟ Ainisha matumizi yako na hakikisha unayabana ili upate baki.
Lakini cha muhimu zaidi hapa ni kuisimamia bajeti.
Hapa namaanisha njia ambayo itakupa kizuizi cha kuzifikia hizo fedha kirahisi kama vile.:
๐๐ฟ Kibubu chenye kufuri.
๐๐ฟ Fixed Account ya bank
๐๐ฟ Kuzituma kwa mtu unaemuamini aliye mbali na wewe.
Hii itategemea na ipi unaipendelea.
Hapa namaanisha.:
๐๐ฟ Tambua matumizi gani unayafanya mara kwa mara
๐๐ฟ Tambua matumiz ambayo hayaepukiki.
๐๐ฟ Tambua pia matumizi yasiyo ya lazima na uyaepuke kadri uwezavyo
Hapa utaongeza uwezo wako wa kuweka akiba.
Wazungu husema "Save little but often" hivyo.
๐๐ฟ Iwe elfu, mia iweke kwenye akiba.
๐๐ฟ Usiache chenji bar ama sokoni badala yake hiyo chenji ndiyo uihifadhi.
Hii itakurahisishia kutopoteza hela ndogo ndogo pia.
Baada ya kipindi kisichopungua miezi 6 fanya tathimini.
๐๐ฟ kiasi gani umeweza kuweka kwa kipindi hicho.
๐๐ฟ kiasi gani waweza kuweka kwa kipindi zaidi ya hicho.
๐๐ฟ Njia gani waweza zitumia kuongeza uwezo wako wa kuweka akiba.
๐๐ฟMWISHO WA UZI. ๐๐ฟ
Tafadhali RETWEET
More from this author
FAHAMU FEDHA ZENYE NGUVU NA THAMANI ZAIDI DUNIANI. UZI MFUPI. Cha kushangaza.! Dola ya kimarekani haipo hata top 5. ๐.! Iko hivi umoja wa mataifa...
UNATAKA KUWA TAJILI.? "BASI KAPANDE MITI YA MITIKI. NDANI YA MIAKA 10 WEWE NI MILIONEA WA KUTUPWA." Kivipi.? Shuka na Uzi huu na Uretweet uwafikie...
MAFANIKIO NI TABIA. LEO ZIJUE TABIA 10 ZINAZOWEZA KUCHANGIA MAFANIKIO YAKO. "waliofanikiwa wengi wanazo." UZI (muhimu kwa wote wanaohitaji kufanik...
JE UNATAKA KUFANIKIWA KIBIASHARA.? BASI ZINGATIA HAYA. UZI. Ushawahi kujiuliza kama ukipata fedha je utafanya ishu gani mjini au hapo ulipo. Idea...
Recent Threads
Iโm not allowed in social situations without supervision anymore https://t.co/qRXclKZQAi
yejisu au | fundamentals of me and you. where yeji was forced to face her past after yuna got her hired as a secretary to a CEO. the CEO? the same...
๐จRollercoaster NIGHTMARE 8 students dangling 100ft on a stuck Galveston TX roller coaster! โฆ Vertical track failure left them hanging for hours. Fi...
Green flags in friendships that are highly underrated:
otts 617 https://t.co/XpYfeE08YM
This is a great example of the UC Bengali Bhadrolok mindset - they will claim to be Atheist/non Religious but their understanding of Bengali Culture/I...
Popular Threads
Top 20 Players with the most goals + assists in football history, only players with assists available (following the Opta criteria for assists) Seaso...
Here's 40 TikTok hooks that could make you go viral. (Not in any particular order) //THREAD//
1. There are more people added on the list of arrests and executions of famous people but no further intel is available at this time. ARRESTS and EXE...
ICTโs 2022 Mentorship Summarized: https://t.co/zFJCgIfDAR
Top-40 Footballers with Most Goal Contributions (Goals + Assists) in history. [ A MEGA THREAD ] https://t.co/gAb3QcqdYQ
Please retweet and share if you support my and others' vaccine injury recoveries. https://t.co/y8xNWwRUOO