Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania

@radiomariatz

2 Tweets 2 reads Jul 06, 2023
Maombi ya usiku
Ee Baba, Mikononi mwako naiweka Roho yangu.
Tunakushuru Mungu kwa mapaji yote uliyotujalie leo. Ee Mungu wa majeshi Tunakushuru kwa wema wako umetulinda mchana kutwa mpaka kufikia sasa tunasema Asante sana.
Ee MUNGU Baba tunakuja tena mbele yako kuomba ulinzi wako usiku huu, utulinde na maadui zetu, Damu ya Yesu Kristo Bwana wetu iliyomwagika pale Msalabani itufunike.
Pia tunawaombea Marehemu wetu wote pumziko la Milele.
Tunaomba hayo kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo. Amina.

Loading suggestions...