Radio Maria Tanzania
Karibu Kwenye Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Radio Maria Tanzania. #RadioMaria
View on πThreads
Sala kabla ya kuanza Kazi: Tunakuomba ee Bwana uwe mwanzo na mwisho wa yote tunayofanya na tunayosema. Uyatangulie matendo yetu kwa mvuto wa neema yako na kuyaendeleza kwa msaada w...
Sala ya kuomba Mchumba Mwema: Ee mwumba wetu, umewaunganisha watu katika ndoa takatifu nami natumaini kupokea Sakramenti hiyo na kushirikiana na mwenzangu wa ndoa maisha yangu yote...
TUSALI SALA YA ASUBUHI. +Kwajina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina. Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. https://t.co/S4m441ouSP
Sala ya kuomba Mchumba Mwema: Ee mwumba wetu, umewaunganisha watu katika ndoa takatifu nami natumaini kupokea Sakramenti hiyo na kushirikiana na mwenzangu wa ndoa maisha yangu yote...
Maombi ya usiku Ee Baba, Mikononi mwako naiweka Roho yangu. Tunakushuru Mungu kwa mapaji yote uliyotujalie leo. Ee Mungu wa majeshi Tunakushuru kwa wema wako umetulinda mchana kut...
TUSALI SALA YA ASUBUHI. +Kwajina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina. Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa M...
TUSALI SALA YA ASUBUHI. +Kwajina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina. Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa M...
FAHAMU RANGI ZA KASULA NA MAANA YAKE KATIKA KANISA. Kasula ni vazi analovaa kuhani (Padri/ Askofu) kwa Kiingereza tunaita Chasuble hutofautiana kwa rangi kadri ya majira ya Kanisa....