Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania

@radiomariatz

2 Tweets 15 reads Aug 30, 2023
Sala kabla ya kuanza Kazi: Tunakuomba ee Bwana uwe mwanzo na mwisho wa yote tunayofanya na tunayosema. Uyatangulie matendo yetu kwa mvuto wa neema yako na kuyaendeleza kwa msaada wako,
ili sala na kazi zetu zote zianze pamoja nawe na kutimizwa pamoja nawe kwa njia ya Kristo Bwana wetu, Amina.
radiomaria.co.tz
#RadioMariatz

Loading suggestions...