Kabigwa_Afya💊
Kabigwa_Afya💊

@kabigwa_78

11 Tweets 12 reads Dec 23, 2023
Zijue Aina MUHIMU Zaidi ya 12 za Vyakula Kwa Ajili ya kurekebisha na Kuongeza Uzalishaji wa homoni ya Testosteroni.
Nimeona Ni Vema niwasogezee Uzi Huu kulingana na DM nyingi za tatizo hili la nguvu za kiume, Na Wengi Wakiuliza Watumie Vyakula Aina Gani Kwa Wingi,
Repost 🔁
》ASALI MBICHI:
Hii ina sifa ya kuamsha nguvu za kiume pamoja na kutibu matatizo ya afya ya uzazi, Pata Angalau vijiko 2 kila siku kabla ya kulala.
》TENDE:
Sifa ya tende nikuupa mwili nguvu, Pia tende ina virutubisho muhimu hasa kwa mwanaume katika kuzalisha Testosteroni.
》NDIZI MBIVU:
Chanzo kikubwa cha vitamini B,ambacho ni muhimu katika tendo la ndoa,ina kimeng'enyo cha bromelan ambacho huongeza hamu wakati wa tendo, pia huongeza stamina.
》TANGAWIZI:
Huimarisha mzunguko wa damu, ambao huleta matokeo mazuri wakati wa tendo!
》KARANGA, MBEGU ZA MABOGA, MATIKITI NA KOROSHO.
Mbegu za maboga zina kiasi kingi cha madini ya zinki ambayo ni muhimu katika kutengenezwa kwa mbegu za kiume na homoni ya Testosteroni
Vyanzo vikubwa vya Madini ya Zinki,
Huongeza wingi wa mbegu za kiume (sperm count)❗
》KITUNGU SWAUMU:
Vina faida nyingi sana katika swala zima la afya ya mwili,
Ikiwemo katika swala la kuongeza production ya Testosterone, kwa wanaume na kuimarika mara dufu katika nguvu za kiume.
Nivyema uka saga nakuchanganya na asali mbichi, walau vijiko 2 kwa siku.
》TIKITI MAJI.
Lina vitamin A ambayo huondoa sumu mwilini,vitamini C huboresha kinga,hukinga uharibifu wa seli,husaida ubongo kufanya kazi vema,husafisha damu,na kukinga shinikizo la damu,
Hakikisha unatafuna na mbegu zake kwa afya yako ya uzazi.
》 PARACHICHI:
Parachichi lina uwezo mkubwa wa kuzalisha vitamin E ambayo husaidia katika uzalishaji wa homoni za kiume, (Testosterone)
Tafiti zinaonesha kuwa watu wanaotumia tunda hili kwa wingi huwa na msisimko mkubwa wa kimapenzi.
》SAMAKI AINA YA PWEZA NA KAMBA:
Hutoa madini aina ya zinc kwa wingii zaidi ambayo huzalisha vichocheo muhimu katika afya ya uzazi, kwa ujumla. Hasa kwa wanaume.
》CHOCOLATE NYEUSI.
Hurekebisha mzunguko wa damu na kuondoa mafuta ambayo hayafai kwenye mishipa ya damu hivyo kukuepusha na shinikizo la damu.
》PILIPILI KICHAA:
Hii husaidia mzunguko wa damu kuwa vizuri,hivyo kusaidia pia tatizo la uume unaolegea.
》MIHOGO
Ukipata mibichi au Hata ya Kuchemsha pasipo kuweka mafuta ni Vizuri,
Inaongeza Uzalishaji wa manii kwa kiasi kikubwa Mno!
》 Hakikisha una kunywa maji mengi, kila siku,
》Kuwa na ratiba yakufanya mazoezi ya mwili hasa mazoezi ya "KEGEL"
Kwa matokeo ya Mara moja katika misuli ya nyonga na kwa wanawake husaidia kubana uke.
》Kwa Masomo Na Elimu Zaidi Za Afya, Sogea Hapa 👉t.me

Loading suggestions...