𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷

@gabyconscious

36 Tweets 12 reads May 01, 2024
Kwa miaka 5 sasa naweza sema walau nimeweza kupata kipato ONLINE TZS 0 hadi 3M (inategemea na Mwezi)
Vitu 10 nimejifunza kwenye kutafuta Maokoto Online
Ukweli ni kwamba hakuna kitu spesho sana, sio @meetmelch na @ally_eh pekee wanasaka maokoto Online, Hadi mainstream media wanatafuta maokoto online, agencies,Activists n.k
So tuondoe dhana kwamba wanaotafuta Pesa online ni freelancers, wacheza forex, Wakamalia,Influencers pekee
Kila mtu sikuizi hadi wanasiasa wamekua engagement farmers, wanajua nguvu ya Internet,wanajua nguvu ya social media
So kama hupati chochote una simu,Internet,PC na Computer ujue kuna shida mahali, Either ni MVIVU ama HUJUI UANZIE WAPI.
Sasa twende kwenye Point nini nimejifunza
1. Kuna phase utapita hujui uanzie wapi
@theRealKiyosaki kwenye kitabu chake cha Financial IQ anasema “The problem with the Information Age is information overload. Today, there is too much information.”
Kwa experience yangu naona bora uchague path
➙Tafuta “Skill ama Interest”, I mean chochote kile, Inaweza kuwa Mapishi, Editing,Trading,Writing,Coding blah blah
➙Kamua Haswa, jifunze uwe mtabe kabisa kwenye huo mchongo.
Download Torrents za kozi ni BURE
➙Anza kuDocument safari yako kuanzia unajifunza hadi unakua pro(Watu wanatoaga attention kwenye STORY) ndomana hata wewe unasoma hii Thread😂, nimeanza na Story
➙Hakikisha kwenye hiyo SKILL unakua mnoma Bongo nzima, kama sio number moja basi hadi number 5.
Me ukiniuliza Leo:
❯ Nani Freelancer mnoma? nitakutajia @mafolebaraka @Johansentz @meetmelch
❯Nani Fx Trader mnoma? nitakutajia @lawcharsfx1 @amrisaly @moki_jr , etc
❯Nani Crypto Insider? mnoma nitataja @nickyrabit @pastatrade101 @galus_titanium @gabyconscious , etc
❯Nani Copywriter mnoma? nitakwambia @unfaircopy @NyandaAmosi
➙ Sasa wewe inabidi uhakikishe Jina lako linaweza kuwa kubwa hivyo hata kama jina sio kubwa basi kazi yako iwe kubwa kwa levels zaidi hata ya hiyo mifano
KOMAA BILA KUCHOKA
➙Baada ya kuDocument na Kupost kwa Social media kinachofata ni kutafuta watu(hasa wenye biashara) na kuwapa solution.
Ukweli ni kwamba skill yoyote utakayojifunza Online kuna BIASHARA iko sehemu inahitaji hiyo Skill. Na wafanyabiashara ndo wenye hela🫵🏾
Kudocument sio kupost vitu serious muda wote kama Tupo kwa wimbo wa Taifa.😂
Post kitu interesting, Interact na watu wa Field yako, hivyo hivyo aste aste
So speaking of Biashara na wafanyabiashara
➙Anza BURE wape service waombe review tu, zipost kama testimonials kwa social media zako(Itafanya uaminike), Baadae wacharge
2. Matapeli ni Wengi Online.
➙Ndomana nimeanza kwa kukuonesha wapi unaanza kujifunza skills BURE, ukiiva ni rahisi kujua huyu ni Tapeli hata kwa convo ya dk5 tu.
Usiamini amini mtu kirahisi, usiamini mtu kisa kapost Hela ama post akila maisha, UTAPIGWA KWELI🫵🏾
➙Wengi wamepigwa kwa kudanganywa watafundishwa kuingiza pesa kwa watu ambao hawana huo ujuzi, shida walianza na kutamani Pesa sio mchakato
FALL IN LOVE na Career yako hata kama ni kupost memes kama mjomba @Big0047 , kuna siku utanufaika nayo
➙Pia kuna mentees ni Scam, yaani ile mtu hafanyii kazi na hafanyi assignments anazopewa na mentor wake, hapa utaishia kuita watu scam tu(Nasistiza anza na options za BURE kabla hujamlipa Mtu), ili ukifeli ujue wewe ndo sababu
➙Kingine acha kubofya bofya links kwa vitu huelewi vizuri. Njoo hata Twitter post tu watag watu unahisi wanajua icho kitu watakujibu.
Acha kukimbilia INBOX bro, Ndo mnakotapeliwa, Post it uliza hadharani ni rahisi sana kupata solution kuliko huko INBOX mnakimbilia
3. Kuna muda hautaeleweka kwenye FAMILIA ama kwa Mpenzi wako.
➙Hii nikisema nimepitia ni uongo, Familia yangu inajua nimejiajiri na mahitaji yote wanapata, lakini nina wanangu nawajua wazazi wao wanaona wanapoteza muda kukomaa kusaka Madusko ONLINE
➙it’s very okay we kausha tu kula msuli ukianza kupata Pesa wanatuliaga Mwanangu. Usibishane na mtu iwe nyumbani, awe rafiki ama mpenzi, Washa Simu na PC fanya yako.
We ndo unajua kwanini ulianza.
Ukiacha unakua ushapoteza Muda na resources zako afu hujapata kitu
4. Kushirikiana kuwe na Mipaka na kuje naturally.
➙Acha kuwa yule mtu kila siku unaDM watu kuomba wakupost ana wapost michongo yako. Amini social media inatoa chances sawa kwa mwenye Followers Laki na mwenye followers 100.
ndomana si ajabu kuona Joji wa Uyole ana engagement kuliko Mlawa Mascania 😂
➙Mfano me na @nickyrabit na @theweeklygold tumegrow whatsapp contact list kubwa sana sisi kila mtu akiona post ya mwenzie anashare bila kuambiwa yaani
Na kuna Siku Gaby anapost kuhusu Nicky tu, ama Nicky kuhusu Gaby tu mwisho anaweka number yake watu wanamcheki. Mnakua wote. Lakini zingatia wote nna skills na wote mna njia zenu za kupata MAOKOTO
Usitegemee kuna mwana atakubeba tu kama Hupambani, atachoka tu.
5.Kupata Hela kwa kufundisha unachokijua Hakulipi ila kuna pesa ya ziada
➙Mtu asikubabaishe hata kama yeye kwenye anachofanya leo aitwe akafanye seminar sehemu analipwa, ama aambiwe atengeneze ABCs analipwa atafanya
Angalia nini uko competent mwanangu kiuze, Uza ebooks, uza tutorials, courses, subscriptions.
Me sina muda wa kuuza so @CreatorStoreApp inanisaidia nisipoteze muda.
Mtu hakulishi, hakuvishi asikupangie standard ya kupata pesa LEGALLY
Ingia HAPA
wa.me
6. Uaminifu
➙Muhimu sana kuwa Honest, unafanya biashara ama Gig na mtu deliver
➙Chunga sana kulinda jina lako likichafuliwa kama tuhuma ni za kweli utatumia miaka kusafisha
➙Unatoa huduma acha excuses, kuna muda inabidi hata uingie hasara ili mlichokubaliana na Client kitimie. acha JANJA JANJA
7. Anon Vs Kujionesha
Simuongelei Baba Kijora @anon_codex 😂
➙Kuwa anon na kujionesha sura kote kuna faida na hasara zake, me nilichagua kujionesha coz sioni sababu ya kuficha chochote
@anon_codex ➙Faida za kuwa Anonymous ni watu watakuJudge kwa kazi na contents zako na sio muonekano wako. Ila Hasara yake kwa nchi kama Tz mwingine anaCompare Anonymity na Utapeli/wizi
@anon_codex ➙Hasara za kujionesha kuna watu sio wazuri pia wanaweza kukudhuru, kukuibia, wengine watakupa ama kunyima mchongo sababu ya muonekano wako(Mfano me nimekosa sana madili sababu navaa vinjunga na sichanagi nywele)😂
@anon_codex 8. No Brainer digital products sell
➙ Mwanangu @nickyrabit ana apps nyingi akikuonesha unaona kabisa ni Multimillion dollar product lakini hajapata hata hizl hela, amekuja kupata kwenye product ka @CreatorStoreApp ambayo ni rahisi kutumia na inaendana na uhalisia
@anon_codex @nickyrabit @CreatorStoreApp Mfano kila mTz ana Whatsapp kutengeneza solution juu ya whatsapp kuna urahisi wa kuuza kuliko kutengeneza App yako, hapo unamhamisha mteja, japo pia kuna wengine wanataka hadi uwe na APP ndo wajue una tech product
That’s my POV though msiniue 😂
@anon_codex @nickyrabit @CreatorStoreApp 9. WaTz wavivu na Wabahili
➙Unapotaka kuuza product/service ama skill yoyote online hakikisha inawafanya wasitumie pesa nyingi ama inawafanya wasitumie nguvu/akili sana mf: unauza kozi ya Graphics design, kuna Tutorial ya Adobe Illustrator na ya Canva, Ya Canva itauza
@anon_codex @nickyrabit @CreatorStoreApp ➙Ila products za starehe na za KuImpress jamii wanalipa bei yoyote ile yaani😂subscription za connection huko ndo mambo wanalipia mfano MangeApp
@anon_codex @nickyrabit @CreatorStoreApp 10.Tumia InfoGap kupiga Hela
Hii nimeeleza sana kwa hii Ebook ipo @CreatorStoreApp ni 1500 tu, Tuma neno “Nunua” Chagua number 3 au & 5
Link:
wa.me
@anon_codex @nickyrabit @CreatorStoreApp TAKEAWAYS:
➠Kuna Kiangazi, kuna muda hutapata pesa kabisa licha ya kuwa na skills ila ukiwa Consistent kuna muda utapata
➠Usiache hela fanya ads, affiliate programs, uza ebooks,magazines,courses,tutorials na premium product yoyote.
@anon_codex @nickyrabit @CreatorStoreApp Sio dhambi muhimu tu uwe umebobea kweli na unaDeliver kitu unachofanya
➠Nchi yetu ina opportunities nyingi sio lazima upate pesa Online unaweza enda kwenye Kilimo,Madini,Ajira n.k
➠Ila the good thing is mchongo wowote ule unaweza uweka Online na ukapata connections, clients,nk

Loading suggestions...