WatuNiStory
By @djtee255 #ShujaazTZ / Simulizi halisi za vijana kuhusu kazi, maisha, ndoto, msukumo, nguvu na udhaifu kuhusu maisha yao. #WatuNiStory #Shujaaz #Hatukuchori
View on πThreads
"Aisee leo nafika ofisini asubuhi nakuta kuna mbaba mmoja hivi ananizidi ka miaka 15 ila ni mshikaji wetu pale ofisini, akaniomba nimpe kampani home kwa mke wake (ukweni), aisee tu...
"Dah acha na mimi nitoe ya moyoni leo. Kwa kifupi sina imani kabisa na wanaume kuwa karibu na watoto yani sina kabisa hiyo imani. Nahisi nimeathirika na sidhani kama nitakuja kupo...
"Nilikuwa na mwanaume, kwangu alikuwa kama mume wangu. Nilifanya kila kitu alichokuwa anataka. Nilimfulia, nilimpikia na usafi kwake nilifanya. Yaani nilikuwa najikuta kama mama...