Wisdom
Heart-catching content, Script Writer, Sound Designer, Film director.
View on 𝕏Threads
Mwaka 2010 niliwahi kusikia taarifa ya kifo cha mwanamuziki aliyetajwa kama ndiye greatest Rapper wa Tanzania kwa miaka ya 1997-2002 Katika kusikiliza kwangu taarifa hiyo ndipo ni...
Wakati ambo JAY Z anarekodi album ya KINGDOM COME kwenye studios za BASELINE, ndani ya jiji la MANHATTAN. Kijana aliyetambulika kwa jina JERMAINE LAMARR COLE alikuwa akikatisha n...
Baada ya mapinduzi yale ya GABON General BRICE OLIGUI NGUEMA aliteuliwa kuwa kiongozi wa mpito wa GABON. Kwa furaha watu walipaza sauti wakishangilia kupinduliwa kwa rais aliyekuw...
Niliwahi kusikia habari za EAZY-E kwamba yeye ndiye GodFather of Gangsta Rap. Na zaidi nikaja kusikia kuwa Kwa miaka ya 1986-1992 ni EAZY-E Pekee ndiye rapper aliyekuwa na pesa n...
Tumeshawafikia watu wawili ambao mashushushu wanawashuku watu hawa kuhusika na kifo cha LUCKY DUBE. Hii ni Episode 03... Hebu tusonge pamoja.. MHLANGA na GXOWA wakiwa wanarudi w...
Mpaka sasa bado hatujui ni kina nani walihusika na kifo cha LUCKY DUBE. Hii ni Episode 02.. Hebu tushuke nayo taratiibu tutaanza kuwafikia... Askari haraka wakafika eneo la tuk...
Wakati mwingine Music huleta Amani, Burudani na Ujumbe mkubwa. Mwaka 2015 nilikuwa napenda kusikiliza wimbo wa LUCKY DUBE uitwao "It's not easy" Because I was tortured by love S...
Miaka kadhaa nyuma niliwahi kuitazama series ya SPARTACUS. Hapa ninakili kwamba ndani ya series hiyo hakukuwa na chochote cha maana nilicho ambulia, zaidi ya ile mihemko iliyonite...
Wakati ambao nimekuwa nikiitazama mara kwa mara movie ya BLACK PANTHER ndio wakati huo huo nilianza kuona ujumbe wa siri na wa kutia mashaka kwa muigizaji chapa ndani ya movie hiyo...
Was reported to be unsinkable Miaka 178 iliyopita.. Hapa nazungumzia mwaka 1845 ni mwaka ambao watu kadhaa walikaa chini na kuwaza namna ya kutatua changamoto ya usafiri wa maji...
Mwandishi wa kwanza kusafiri kwa Submarine ya Urusi hadi eneo la mabaki la Titanic katika Bahari ya Atlantiki, aliwahi kusema... "Ilikuwa ni shahuku yangu kwenda huko ila wakati n...
Five people have been confirmed dead inside OceanGate Titan. Sijui mitambo ilizima ghafla ama wamepigwa na dhoruba kali ila mimi na wewe hatujui kimewapata kitu gani. Najua unaji...