Sunday Victor
Sunday Victor

@sundey_fx

24 Tweets 71 reads May 24, 2022
FOREX TRADING PLAN OF 2022
How to develope it
Najua uantamani kuanza Safari yako ya trading ukiwa na mpango Biasara
Ila hujui uanzie wapi leo nitakupa mbinu za kivita ambazo personal nimekuwa nikitumie kwa miaka 2 Sasa
Kabla hatujaendelea naomba RETWEET yako
=UZI= 2022
Forex trading ni biashara Kama biashara nyingine
Hivyo nimuhimu Sana kuwa na mpango bishara kwa traders yeyote anaetaka kufanikiwa kwenye trading
Trust me biashara yeyote isiyo na mpango wa kuiendesha haiwezi kuishi ndani ya mwezi mmoja
Traders ni muhimu Sana kuwa na plan
Fx Trading ni biashara yenye faida kubwa Sana pia inahusisha hasara kubwa Sana
Hivyo ni muhimu kuiendea kwa akili
Watu wengi tunatamani kufanikiwa bila kuwa na maandalizi mazuri ya kufanikiwa
Kwenye kufanikiwa hakuna bahati hata kidogo
Babati inawaendea wale tu waliojiandaa
Huu hapa mpango biashara (Trading plan) Sample
Unaweza kuufata na ukakusaidia kuanza Safari yako ya Trading
Kama umesahau kuangusha RETWEET yako please naomba fanya hivyo tuwafikie traders wengi zaidi
Watag pia wahikaji kwenye comment hapa chini
Ok! Endelea na UZI👇👇
✨TITLE
•MY TRADING PLAN 2022
Sundefx/Lionfx
•My broker
JustForex
•Leverage 1:500
Learn this trading plan and tray to create yours
✨Key principle road to my successful trading journey 2022
•If you fail to plan you plan to fail
•Sometimes the best loser win.
•If your not in the game you can't win the battle.
•The Best way to make money is to risk Money
✨MISSION
•To become consistency profitable traders in this year & trade fx full time
✨VISION
•To make 5 figure Trading account
•To become a full Time trader
•To become a full Time trader
•To become profitable trader
•To become best trader
✨ CURRENCY PAIRS TO TRADE
Hizi ndio pair zangu nitakazo deal nazo full time
Pairs 5 tu mwaka mzima
📌GBPJPY
📌USDJPY
📌EURJPY
📌GBPUSD
📌EURUSD
hakikisha unachagua pair zako vizuri
Sio mbaya ukipunguza zikabaki 3 tu
Understand your Currency pairs In & Out
Nenda zisome
✨MARKET SESSION TO TRADE
Nitakuwa na trade sessions 2 tu full Time
📌London session
Open at 11:00AM
Close at 3:00PM
📌New York session
Open at 3:00PM
Close at 8:00PM
Hapa nitapata vitu vifutavyo
Confirmation/signals
Entry & Exit points
Rmember market analysis muda wowote
✨ TRADING CONTRACT SIZE
hii ndio itakuwa trading lot-size yangu kwa muda wote
Lot- 0.02
Itaongezeka kadri account nitakavyo kuwa inakuwa
Kumbuka, hii ni kwa mtaji wa $100+, chini ya hapo lot ni 0.01L
Hapa itategemea na kiasi Cha mtaji ulio nao
Understand your trading size
✨ TRADING STRATEGY TO USE
nitatuma strategy hii kwa muda wote
Nitahakikisha najua kila kitu kuhusu hii strategy
My trading strategy with an edge
•pure price Action
•Lionfx Strategy (50+ pips a Day)
•Fundamental Analysis
Hakikisha una Strategy 1 ya muda wote, usirukeruke
✨RISK MANAGEMENT
Njia nitakazo tumia kupunguza hasara na ku leverage faida
Siwezi kuikimbia hasara Ila nitaipunguza
If I mitigate my risk then profits will come itself
Here is how i will manage my risk
📌1:3 Risk-Reward
📌I will risk 2% of my account (risk of ruin)
📌Proper position sizes 0.02
📌Confidence+discipline
📌Review my trading routine every single day
📌Journal all my trades
📌Recording my mistakes & winning trades
📌Stop loss on everything trade
📌Stay away from the screen
📌Patient
📌Cutting losses early & let's profits rum
✨TRADING PSYCHOLOGY
Note: hakuna mafanikio pasi na utulivu wa akili
Psychology is everything in forex trading
Here how to win your Trading psycho
📌No revenge trade
📌Stay away the market when place a trade and when I got losses a day
📌Follow my plan 100%
📌 Confirmation
📌Have a clear reason why I what to enter the trade and record it
📌No over trading
📌No trading more than one pair a day
📌Avoid over position
📌Avoid get Rich quick
📌No trade during large economic news
📌Cut loss, let's profits run
📌Use TP & SL
📌Execute & Avoid FOMO
✨TIMEFRAME TO TRADE
📌M1-D1 for market direction
📌H4-H1 for Market Analysis
📌15M-30M for sniper Entry
Kumbuka hii ni kwa sababu Mimi ni INTRA DAY TRADER
WHAT KIND OF TRADER I'M?
Full time INTRA DAY TRADER
Also I will swing in some how to let the profits run for a long
✨FINANCIAL GOAL
•The aim is to make 500+/month
•50+pips a day
•$16 a day
•compounding my account
•Training
•Mentorship program
•Membership community
GOOOD NEWSS
Mwaka huu nitakuwa na
TRADING MEMBERSHIP CLUB
Trade with @Sundefx
ukijiuna na club utabata services hiz👇
Mentorship program
Analysis together
Profits together
Tradewithme
Coaching
eBooks
Signal
Kwa gharama ya 20,000 tu kwa mwezi na 10,000 kwa week mbili
Lengo Nini?
Kuwajengea traders wapya na wazoefu experience
Win together
At the end tufanye TRADER SUMMIT/PARTY
DM ARE OPEN
✨MY TRADING KITS
•Smart phone
•Computer
•Trading View
•MT4
•Forex factory
•Broker
Remember Kama unataka kujoin Membership community service
DM me now nikupe subscription procedures
Note: only forex Trader,
Hii opportunity ni kwa waliopo kwenye Safari ya trading
✨MY TRADING CONFIRMATION
nitachukua trade endapo nitaona viashria hivi & not otherwise
📌Last kiss at support & Resistance (Breakout & Retest)
📌3 touch at support & resistance key levels
📌🦘 Kangaroo tails
📌The Big Shadow
📌The Big bell
📌Wammie and Moolah's
📌3 candlestick
Confirmation
📌Moment candlestick confirmations
📌Trade with trend, trend is always my friend
My set-up, confirmations will be built at👇
SUPPORT AND RESISTANCE ZONE
DEMAND AND SUPPLY ZONES
Steve Job's once said
"Fail Early and Fail faster"
Usiogoge ku fail chukua hatua
Kama umeupenda huu mpango mkakati
Rudi mwanzo Kisha naomba RT yako
Tupo nyuma Sana bro @IdrisSultan
Anasema 2022 kwake imeshaisha now Ana focus na plan za 2023 ananitia Moto Sana huyu jamaa
Let build together here in PUBLIC
TRADER WTH @sundey_fx is now OPEN,
FEBRUARY
Otherwise you can extract SKILLS From this Twitter University
Here we go 2022 , Trust the process bro
@Sirjeff_D @GillsaInt @mafolebaraka @lissaFx_V75 @LeyAllyie @NyandaAmosi @BakalemwaTz @McinikaWaLamar @CGSigonda @ITDude0709 @ally_eh @CarolNdosi @GetrudeMligo @Raphahustler

Loading suggestions...