James Munisi
James Munisi

@NjiwaFLow

18 Tweets 2 reads May 30, 2023
💨 Amini, Usiamini! iOS 17 iko njiani, ambapo itazinduliwa Rasmi mnamo tarehe 6 June 2023 katika WWDC.
WWDC ni apple's Worldwide Developer Conference ambapo apple wanazindua operating system kwa iphone, Mac, Apple TV, na Apple watch.
Ambapo mwaka huu apple wametangaza...👇🏾
Kuwa conference hiyo mwaka huu itafanyika mnamo june 6 mwaka huu.
Baada ya Apple kuizindua Rasmi iOS 17 wataanza kuruhusu Operating system hiyo ianze kutumika kwa developers katika siku za mwezi July kisha itaendelea na maboresho mpaka kwenye Mwezi september itakua..👇🏾
Imeshakamilika ambapo itakuja na simu zao mpya za iphone 15 series.
Leo nakuletea Uvumi wote!. Unaoendelea kuhusu apple's iOS 17.
Kaa tayari andaa juice yako ya apple tukitiririka katika uzi huu mdo! Mdo!
Ukitofautisha na vifaa vya apple kama simu na kadhalika ambavyo vina vuma au kuchuja miezi au miaka kabla ya kutoka, kwenye software ni tofauti!. Hardware zinavuma kutoka kwa wasambazaji wa vifaa vya apple!. Ila inakua vigumu saana kuvujisha softaware kwa kua inafanyiwa...👇🏾
Marekebisho na apple wenyewe.
Bloomberg wametangaza kuwa iOS 17( na software platform nyingine) inarudi nyuma kidogo na kuwapa nafasi kutengeneza Apple's AR/ VR headset. Wanasemankuwa hizo Headset pia zinaweza kutangazwa katika apple's WWDC.
Zifuatazo ni feature za iOS 17;..👇🏾
1. DESIGN MPYA YA CONTROL CENTER (C.C).
Kama tunavyojua Contro Center ya iphone haijawahi badilika tangu iOS 11 ambapo ilitoka na iphone X. Uvumi unasema Apple wanataka kufanya mabadiliko kwenye iOS 17.
Mpaka sasa C.C inapatikana kwa ku-swipe juu kutoka kwenye kona ya simu.
2. Journaling App.
Kutoka kwa Wall of street journal. iOS 17. Itakuwa na app mpya ya Journaling ambayo app hiyo itakusanya taarifa kutoka kwenye apps nyingine mfano find my.
Wanasema kuwa app hiyo itakuwa uwezo kulingana na location uliopo ambapo itafanya kazi kama extension ..👇🏾
Ya find my service na location features nyingine!!.
3. Find my wallet na wallet app updates.
Kulingana na report ya Mark Gurman find my app na find my wallet zote zitapokea maboresho mapya mwaka huu.
Hamna details nyingi sana katika report hiyo!!
4. Features mpya katika Health app.
Katika Health app apple wanapanga kuweka uwezo mood na emotion traking katika update ya iOS 17. Kulingana na bloomberg watumiaji wataweza kutambulika namna wanavyohisi (mood) kutokana na maswali watakayojibu kuhusu namna siku zao..👇🏾
Zilivyokuwa. Ambapo wataangalia namna inavyobadilika kila saa!.
Apple wanampango wa kuiboresha feature hii baadae ambapo watatumia algorith kujua mood ya mtu kutokana na namna anavyoongea, namna anavyoandika na data nyingine toka kwenye simu zao.
App hii inasemekana kuwa👇🏾
Itakuwa na uwezo wa kutambua uwezo wa mtu wa kuona! Lakini bado hii feature haijathibitishwa!
Apple pia wana mpango wa kuileta hii app kwenye iPad kwa mara ya kwanza ambapo mwanzoni likuwepo kwenye iphone tu!.
5. Side loading na Third-party app stores.
Kama ulikua hujui apple watafungulia side loading na Third- paty apps katika nchi za European Nationals kama part ya iOS 17 kipindi hichi!
Hii inakuja ili kuendana na sheria ya Digital market Act. Ambapo inamtaka Apple kufanya hivyo!
iOS 17 itaruhusu watumiaji kutumia third-party app stores on their iphone. Lakini apple hawana mpango wa kifanya hii kitu kuwa rahisi hivyo!.
Inasemekana apple wanampango wa kuwa- charge developers kuwa part ya program na watatumia some parts ya comfigaration.👇🏾
Unaambiwaje! Hii feature mpya ya side-loadings na third party apps store itakuwepo kwa simu za European nation pekee!. Ambapo sheria hiyo inafanya kazi.!
Apple hawana mpango wa kuileta hii kitu kwa United states au nchi nyingine!!.
6. Smart Display feature.
Kwa taarifa zitokazo kwa Bloomberg apple wanampango wa kufanya maboresho katika feature ya Always on Display.
Wanafanya maboresho na kuleta Smart display interface ambapo itafanya kazinkama iphone itakua inacharge au iko katika landscape..👇🏾
iOS 17 itaonyesha info kama Calendar appointments, hali ya hewa(weather) info, katika style ya smart home display!!
7. Airplay na Share Play.
Shareplay ni feature ambayo itakuwezesha mtumiaji wa iPhone na iPad kuangalia TV shows, movies na content nyingine pamoja...👇🏾
Hapa Apple wanampango wa kuongea na wamiliki wa hotels na sehemu nyingine ambazo zina TVs na speaker kwa lengo la kuweza kuweka feature hii.
Miongoni mwa vifaa vya zamani vya iphone vitavyo sapport iOS 17 ni kuanzia
• iPhone 8
• iPhone 8 plus
• iPhone X
• iPad (5th Gen)
• 9.7-inch iPad Pro (1st Gen)
• 12.9 -inch iPad Pro (1st Gen)
Asante kwa kuwa na mimi mwanzo mpaka mwisho
Mtayarishaji/Mhariri: @Rydx_017

Loading suggestions...