James Munisi
Creator & Innovator | Electronics & Telecom Engineer | Business Administrator | 1+1=11 | All about Techs | Founder @Njiwa_Store | We are @TOTTechs |#SimuZaNjiwa
View on πThreads
#UZI | marudio π¨ KAZI YA RAM KWENYE SIMU Swali linaulizwaπ - Kwanini iPhone ina 4GB RAM alafu simu yenye Android 16GB RAM ila iPhone bado ipo kasi? - RAM zinavyozidi kuwa nyingi n...
π¨ Jana kuna mtu aliomba aletewe uzi wa kubadili Document (PDF) kwenda kwenye Microsoft word! Nikaona, Kwa nini nisimbless Mwana! Yawezekana sio yeye pekee ambaye hajui labda kun...
π¨ Jana nilipata shida sana ya kumuelekeza Mtu namna ya Ki-sign documents (PDF) Kwenye simu! Kwa sababu alikua mbali, ikanibidi bitumie Whatsapp screensharing kumuelekeza! But Mwi...
π¨ Kandri miaka inavyozidi kuenda simu zinatoka mpya na bora zaidi. Ambapo makampuni ya simu huboresha na kubadili karibia kila kitu kadri miaka inavyozidi kwenda!. Mabadiliko h...
π¨ Sikuhizi Whatsapp imekuwa kama Diary au Notebook yangu. Yani wazo lolote au kitu chochote cha kuwafundisha likinijia nalihifadhi whatsapp. Watu watauliza whatsapp inawezaje juw...
π¨ Miezi iliyopita niliwapa taarifa kuwa whatsapp wanawaletea feature ya ku-share screen kwenye whatsapp. Feature hiyo inawawezesha mtumiaji wa simu kumuelekeza mwenzie juu ya kit...
π¨ Nimepokea habari hizi kwa Masikitiko Makubwa sana! Whatsapp wametangaza kuwa Backup za data za Whatsapp, Hii inahusisha ~ Picha ~ video ~ Chats, zako za Whatsapp kwenye Google...
π¨ Leo nilikuwa na mtu anatumia Whatsapp Gb, baada ya kusoma ule uzi wangu wa jana akaniambia kuwa, Miongoni mwa sababu zinazomfanya atumie Whatsapp Gb ni kuangalia status bila kuo...
π¨ Baada ya kupost post ya Jana, nikajua kuwa watu wanatakiwa kupewa hili somo! Mimi mpaka sasa nashangaa!!, Mpaka sasa kwa nini watu bado wanatumia Mods whatsapp? Mwanzoni, saba...
π¨ Miezi iliyopita niliwapa taarifa kuwa kwa sasa Whatsapp wameruhusu kutumia account zaidi ya moja kwenye Whatsapp. Watu walikuwa wananiuliza Unawezaje? Leo nitakufundisha namn...
π¨ Jana niliwaelekeza namna ya ku-record screen ya laptop au Computer kwa kutumia Microsoft Power Point!. Kama utakuwa hujausoma huo uzi, nenda uko kwenye Highlights za timeline y...
π¨ Yawezekana ukawa unataka kurecord screen ya Computer au laptop yako ili uweze kumuelekeza mtu kitu flani kutoka kwenye computer! Maybe, unataka utoe lecture ya kutu flani utawez...