James Munisi

James Munisi

@NjiwaFLow

Creator & Innovator | Electronics & Telecom Engineer | Business Administrator | 1+1=11 | All about Techs | Founder @Njiwa_Store | We are @TOTTechs |#SimuZaNjiwa

Dar es Salaam, Tanzania t.co Joined Feb 2025
103
Threads
110
views
190.7K
Followers
111.0K
Tweets

Threads

AFANDE Anders Lassen—THE TERRIBLE VIKING OF WWII. #UZI 💨Stori yetu inaanzia kule mashariki mwa nchi ya Italia, ambapo kiongozi wa ‘British Army Special Boat Service’ Meja Anders La...

‘Battle of Shiloh’—VITA YA KIBABE, KATIKATI YA MSIMU WA PASAKA. #UZI 💨 April ya mwaka 1862, wakati wakristo wengine duniani wakijiandaa na sherehe za pasaka, hali ilikuwa tofauti k...

MAJARIBIO 06 YA KUMUUA ADOLF HITLER—AMBAYO HAYAKUFANIKIWA. #UZI 💨Imekuwa ikiripotiwa katika vyanzo kadhaa vya habari kwa muda sasa kuwa, April 30 ya mwaka 1945, ndiyo siku ambayo m...

#UZI 💨 Night mode za Oppo Find X3 Pro Vs Google Pixel 6 Pro nani katisha 👇 Oppo Find X3 Pro Google Pixel 6 Pro https://t.co/Eo0FRtYSv8

CIA na KGB WALIFELI KUMUINGIZA MKENGE Sukarno—KUPITIA MKANDA WA FILAMU YA NGON* #UZI 💨Mwaka 1945, Mwanaume aliyekuwa akifahamika kama Sukarno alitawazwa rasmi kama Rais wa kwanza w...

💨 Google Pixel haipo kwenye list ya makampuni 10 bora ya simu duniani. Lakini kwa wastani inashika nafasi ya 2 kwa kutengeneza simu bora duniani nyuma ya Apple. https://t.co/rr3rg...

💨 Umenunua simu na hasomi line au haitaki kuunganishwa na internet hata ukiwasha data? Au internet inafanya kazi vizuri ila ukifungua Google Chrome imegoma? Twende sawa 👇 Nenda S...

MAISHA YA UHALIFU+UTUNDU WA KUTOROKA MAGEREZANI WA MWANBA—John Herbert Dillinger. #UZI 💨Sio tu Marekani yote, we ukipata muda nenda kawaulize hata FBI kuwa huyu John Herbert Dillin...

#UZI 💨 Ndio Tunaifunga 2022 1: SIMU BORA YA 2022

MFAHAMU ‘Bruce Reynolds’ MASTERMIND WA TUKIO LA ‘Great Train Robbery’. (TUKIO LA WIZI MKUBWA UINGEREZA) SEHEMU YA 03. #UZI 💨Sasa, Mpango uliokuwa mbele yao ni namna ya kuchomoka h...

MFAHAMU ‘Bruce Reynolds’ MASTERMIND WA TUKIO LA ‘Great Train Robbery’. SEHEMU YA PILI #UZI 💨Saa 18:50, Jumatano ya Tar 7 Aug Mwaka 1963, Royal Mail train ilikua imepaki pale Glas...

MFAHAMU ‘Bruce Reynolds’ MASTERMIND WA TUKIO LA ‘Great Train Robbery’. SEHEMU YA KWANZA #UZI 💨Sijui kama unalikumbuka au kama umeshawahi kusikia kuhusu tukio la Mwaka 1963 la ‘Gre...