James Munisi

James Munisi

@NjiwaFLow

Creator & Innovator | Electronics & Telecom Engineer | Business Administrator | 1+1=11 | All about Techs | Founder @Njiwa_Store | We are @TOTTechs |#SimuZaNjiwa

Dar es Salaam, Tanzania t.co Joined Feb 2025
103
Threads
110
views
190.7K
Followers
111.0K
Tweets

Threads

💨 juzi juzi Samsung wametangaza simu zao mbili mpya Samsung galaxy Tactical Edition na XCover 6 pro Tactical Edition Simu hizi mbili zimetengenezwa kwa ajili ya U.S military na zi...

💨 Hivi unajua kwamba Android wana njia yao ya ku-share files kama ilivyo Air-drop kwa Apple? Nearby share ni njia inayotumika kutuma vitu kama picha, video, Doc na data zingine ku...

💨 kampuni ya umami meats iliyopo huko Singapore, wamekuja na Tecnolojia mpya ya kutengeneza Minofu ya samaki kwa kudesign na kuprint kwa mashine ya 3D maabara Minofu hiyo inatokan...

💨 #ChactGPT AI nzuri kwa kutumia mpaka sasa Kutokana na uwezo wake Lakini leo nakuletea mambo 10 yanayofanywa na Bard ambayo ChatGPT haiwezi kuyafanya! Source: [You need a robort...

💨 Whatsapp wanakuletea whatsapp Channels! Whatsapp for android kwenye Beta update version 2.23.10.19 wanakutea Whatsapp channels ambapo zitakuwa kama chanells za Telegram ambazo z...

Je umeshawahi kuomba pasword ya WIFI kwa mtu na akakuambia hawezi kukupa kwa kuwa yeye ameconnectiwa na mtu na hajui pasword? Ulijisikiaje kuwa helpless? Sasa Usiwe mnyonge! Uzi uf...

Je wajua? 💨 Kwa kawaida web browser zote zinakuja na uwezo wa kukuwezesha wewe kusearch vitu bila kuhifadi data,history au kujulikana (anonymously). Wanafanya hivyo kwa features za...

#UZI 💨 Uchambuzi wa baadhi ya kuonyesha sehemu Google Pixel 6 Pro Vs Oneplus 10 Pro zilipofeli. Hapa Pixel kaweza kuonyesha kilichoandikwa ila amefeli kwenye rangi Oneplus kamreke...

#UZI 💨 Picha zote zimezipiga maeneo ya Dar es Salaam usiku kuonyesha uwezo wa Camera uliopo kwenye hizi simu mbili #NaniMkali? Piga kura yako chini👇 Google Pixel 6 Pro Onep...

MIKASA YA MARAIS WA MAREKANI WALIOFIA MADARAKANI. #UZI 💨Licha ya kuupata uhuru wake July 4, ya mwaka 1776 kutoka kwa Uingereza. Taifa la Marekani halikuongozwa na Rais Mpaka kufiki...

KUTANA NA ‘Liu Zhaohua’—MGUNDUZI WA MADAWA YA KULEVYA. (The Most Intelligent Criminal In History?) #UZI 💨Anaitwa Liu Zhaohua, mshindi wa 2 katika mashindano ya somo la chemistry a...

NINI KILIMKUTA ‘Pacho Herrera’ Wa ‘Cali Cartel’ BAADA YA KIFO CHA ‘Pablo Escobar’!!? 💨Ni upi ulikuwa muafaka wa maisha ya aliyewahi kuwa kiongozi wa mojawapo ya magenge ya kuuza...