James Munisi

James Munisi

@NjiwaFLow

Creator & Innovator | Electronics & Telecom Engineer | Business Administrator | 1+1=11 | All about Techs | Founder @Njiwa_Store | We are @TOTTechs |#SimuZaNjiwa

Dar es Salaam, Tanzania t.co Joined Feb 2025
103
Threads
110
views
190.7K
Followers
111.0K
Tweets

Threads

MWANAMKE PEKEE ANAYETAFUTWA NA FBI KWA SASA, U-KALYINDA UMEMPONZA. #UZI 💨Katika Kuchimba chimba hapa na pale, nilikua nikijua na kuamini kuwa GRISELDA BLANCO ndiye alikuwa mhalifu...

KIKOSI HATARI CHA ISRAEL (MOSSAD) KILIVYOAMUA KUMSAKA ADUI WAO. #UZI 💨Kuna Mauaji yalifahamika Kama The Holocaust au The Shoah enzi hizo za vita ya pili ya dunia. Haya yalikuwa...

WAIGIZAJI WALIKUFA—WANAWAKE NA TEKNOLOJIA #UZI 💨 Wakati wa Maandalizi ya Mwisho kabla ya kuachiwa rasmi kwa Movie ya The Blair Witch Project, wengi walidhani ilikua ni zaidi ya Hor...

OPERATION BARBAROSSA—MPANGO WA HITLER JUU YA URUSI. #UZI 💨Baada ya Kikao cha muda mrefu kidogo, hatimae Hitler na wanajeshi wake wanafikia muafaka kuwa, majeshi ya Ujerumani Yatauv...

Kutokana Kuwa na Maadui wengi, hususani Mataifa Makubwa na Watu Mashuhuli Mwanetu Julian na Mtandao wake, waligeuka ni mwiba mchungu sana kwa wakubwa Wengi dunia hii.

WAANDISHI—TAARIFA ZA SIRI SANA ZA MATAIFA MAKUBWA—YUKO JELA KWA SASA. #UZI 💨Waliokuwa karibu nami,dakika chache Kabla ya kupoteza fahamu, walikiri kuwa, nilikuwa nikitetemeka kwa...

USIIZUNGUMZIE TEKNOLOJIA, BILA KUWATAJA HAWA. #UZI 💨MaJuzi, Jumamosi wakati napita pita huko Quora,nilikutana na post iliyokuwa imeandikwa (katika mtindo wa swali) kwa maneno yeny...

💨 NAMNA YA KUIFANYA TV YAKO IWE KAMA SMART TV Ishi Kama Pro na Tv la chogo 😁 kuna hii device XIAOMI TV STICK inaipa Tv yako uwezo wa kupata huduma za YouTube, Netflix, Playstore n...

#UZI 💨 MAMBO 10 YA KUZINGATIA KABLA UJANUNUA SIMU 1: BEI Kwanza ni lazima ujue una budget ya Shingapi ya kununua simu either ni laki 3 5 milioni na kuna wale wa "we taja simu kali...

#UZI 💨 INDIA NA VITA YA MCHONGO 1998 wakati India anataka ku-test silaha zake za Nyuklia | Ukraine ilimpigia India kura hapa kwenye kikao cha UNSC Ukraine imekuwa ikiiuzia Paki...

#UZI 💨 URUSI BADO INAICHANGANYA NATO na USA ▪️Baada ya Ukraine kutaka kujiunga na NATO Urusi ikapeleka Wanajeshi zaidi ya 100,000 mpakani mwa Ukraine kuwapa hofu NATO waiache Ukra...

💨 Kati ya watu hatari duniani kwa sasa ni mmoja wapo ni Elon Musk Makampuni makubwa duniani na matajiri ya/wa-namuwaza huyu jamaa. Anaweza kufanya chochote kwa nguvu ya ushawishi...