James Munisi
Creator & Innovator | Electronics & Telecom Engineer | Business Administrator | 1+1=11 | All about Techs | Founder @Njiwa_Store | We are @TOTTechs |#SimuZaNjiwa
View on πThreads
π¨ MrBeast, jina halisi James Donaldson(25), alizaliwa mnamo Mei 7, 1998 huko Kansas. Alikua huko Kansas na kaka yake mkubwa na dada yake mdogo. MrBeast alifurahi sana na video za...
π¨ App ya threads kutoka instagram inakuja na moto!! π₯π₯ wa hali ya juu!! Lisaa tu baada ya kuzinduliwa app hiyo ilipokea watu million 4!! App hiyo inakuja kuwa mshindani wa twitte...
π¨ Hivi Unajua kuwa Haya majina ya Processor series mfano Core i7, Core i5, Core i9 hayana umuhimu katika kuchagua Kompyuta au Laptop!. Utakuwa unajiuliza kwa nini? Leo nitakuthib...
π¨Tunaanza kuchambua feature moja moja kwenye za iOS 17 wakati zikiiingizwa kwenye iPhone. Juzi juzi kwenye iOS 17 Beta wameadd feature mpya ya Personal voice. Nadhani utakua unaji...
π¨ mnamo tarehe 5 june apple walitangaza product yao mpya ijulikanayo kama apple vision Pro. Hii ni ni product yao ambayo walikua na malengo na ndoto za kutengeneza bidhaa hii tangu...
π¨ wakati Whatsapp wakiendelea kufanya maboresho kwenye app yao na kujaza features nyingi ambazo hazikuwepo, tukumbuke kuwa feature zote hizo zilikuwepo telegram, mfano screen shari...
π¨ Kutana na kijana Clovis Hung mwenye umri wa miaka 12 ambaye ametamba saana kwenye vichwa vya habari huko Marekani Hii ni baada ya kuwa muhitimu wa kwanza mwenye Umri mdogo zaid...
π¨ Amini, Usiamini! iOS 17 iko njiani, ambapo itazinduliwa Rasmi mnamo tarehe 6 June 2023 katika WWDC. WWDC ni apple's Worldwide Developer Conference ambapo apple wanazindua operati...
π¨ Katika muendelezo wa maboresho ya whatsapp wanakuletea feature mpya ya kukuwezesha ku-share screen wakati wa kupiga video call. Hii itakuwezesha wewe kumuelekeza mtu vizuri kitu...
π¨Juzi Kampuni ya Elon musk Neuralink imepokea ruhusa kutoka kwa mamlaka ya U.S inayojihusisha na kusajili vyakula na Dawa Food and Drug Administration (FDA) , kuanza kutumia binad...
π¨ Magic Compose feature ya google ni features ambayo itakusaidia wewe kujibu Message kwa kutumia AI. Feature hii mpya sasa imeanza kuingizwa rasmi kwenye Google message app kwa wat...
π¨ Mnamo Tarehe 9, May mwaka huu Tecno walizindua simu Mpya za Tecno Camon series ikiwa kama muendelezo na Mrithi wa Tecno Camon 19 series. 1.#Tecnocaamon20 , 2. #Tecnocamon20Pro n...