James Munisi
Creator & Innovator | Electronics & Telecom Engineer | Business Administrator | 1+1=11 | All about Techs | Founder @Njiwa_Store | We are @TOTTechs |#SimuZaNjiwa
View on 𝕏Threads
MWAMBA ‘Richard Wershe Jr’ NUSU FBI, NUSU MUUZA UNGA (Drug Dealer) #UZI Kuna Orodha nilikua naisoma kuhusu ‘The Most Wicked Criminals’ Katika pita pita za hapa na pale juu ya maj...
MPELELEZI WA CIA, AKANUNULIWA NA URUSI. #UZI 💨Ukisogea Pale Mjini google kisha uka-search, ‘Great Spies In History’, jina la juu kabisa litakalokujia ni la mwamba aitwaye Aldrich H...
YUPO WAPI MTOTO WA PABLO ESCOBAR—MANUELA ESCOBAR!!? #UZI 💨Japo vitabu vya Kihistoria vinamtaja Manuela Escobar kama ndiye aliyekuwa mtoto pekee wa kike wa "The King of Cocaine",...
Moja kati ya Maongezeko dhahabu katika Jeshi la Marekani kupitia Paperclip, ilikua ni Wernher von Braun, ambaye alikuwa ni technical director pale Peenemunde Army Research Center,...
OPERATION PAPERCLIP—USA IKAWAIBA WATAALAMU WA TEKNOLOJIA KUTOKA GERMANY. #UZI 💨Baada ya Germany kushindwa kui-conquer USSR katika vita ya pili ya dunia kupitia ile ‘Operation Barb...
CIA IKASHINDWA KUMPINDUA FIDEL CASTRO—FUKUTO LA VITA BARIDI. #UZI 💨Tangu katikati ya karne ya 18, Nchi ya Cuba ilikuwa ni sehemu ya eneo lililokuwa likitambulika kama ‘Spanish col...
OPERATION DESERT STORM— MAREKANI JUU YA IRAQ #UZI 💨Maneno ya Rais George Bush,juu ya yaliyokuwa yakiendelea yalikuwa ni “Just 2 hours ago, allied air forces began an attack on mil...
SAFARI YA MWANAMAPINDUZI KUTOKA VIETNAM—Le Duc Tho. #UZI 💨Katika moja ya hospitali zinazopatikana Kule kaskazini Mwa Nchi ya Vietnam, katika kijiji kanaitwa Phan Đình Khải, kili...
HOTUBA YA FIDEL CASTRO, KISHA THE ISRAEL—ARAB WAR OF 1948. #UZI 💨Hata kama sina uelewa mpana wa kazi za uandishi na vimbwanga vyake, ila ile hotuba ya Martin Luther King Jr ya “I...
DRUG ENFORCEMENT ADMINISTRATION—MUUZA UNGA,RAFAEL CARO #UZI 💨 Hii Drug Enforcement Administration (DEA) ilizaliwa July 1, ya Mwaka 1973 chini ya “Reorganization Plan No. 2” ya mw...
WANAUME KATIKA UWANJA WA VITA—STORI ZA MAKOMANDOO WA KWELI. #UZI 💨Trust Me Bro, Ukimuuliza Mzee Munisi kuwa, kipi unakipenda Kutoka kwa mwanao James!!?, Sina shaka katika orodha y...
GREATEST AMERICAN SNIPER OF ALL TIME—NI TRUE STORY—OPERATION ANNACONDA. #UZI 💨Ukiniuliza ni Movie gani nzuri nimeangalia Weekend hii, Nitakuambia ni American Sniper Na ukiniuliza...