🪬.

🪬.

@444holywitch

A Cinnamon Boy| Pisces| Witch| @mygallery888

889❤️ & 5207418 t.co Joined Jan 2025
72
Threads
41
views
41.4K
Followers
170.0K
Tweets

Threads

🙏🙏🙏 https://t.co/HAntvsFdQx

Tuchangamshane kidogo😂😂 https://t.co/bJFGajXkfU

NJIA YA HARAKA YA KUJUA KAMA MNAENDANA KINYOTA NA MTU ULIYENAE! Kuna nyota 12 zilizogawanyika katika makundi manne. Kundi la maji(Water Signs) hapa unapata; 1. Pisces (Samaki) 2...

KIDOLE CHA KATIKATI... Mara nyingi huwa ni kidole kirefu kulivyo vyote..tizama gape la kidole chako cha kati na vyengine. Kama ni kirefu sana(Gape kubwa)..ni ishara ya mtu mwenye...

FULL MOON RITUALS...(2) Unaweza kuitumia siku ya leo kuondoa matatizo, nuksi, mikosi na vifungo vya kiroho kwa kufanya ibada au maombi. Chukua maji yaanike(yaweke nje) wakati wa...

FULL MOON RITUALS...(01) Ukiwa umeoga maji safi(yakiwa na chumvi ya mawe au magadi itakua vizuri zaidi japo sio lazima) Ukiwa na Crystal(Gemstone, Tiger Eye, Armand etc), Tasbihi...

JINSI YA KUONDOA NUKSI MIKOSI NA KUJISAFISHA KIROHO KUPITIA MAJI YA BAHARI... Ushawahi kusikia watu wanaambiana kuwa "Wewe una nuksi kaogee maji ya bahari"😀. Yeah ni sahihi energ...

NAMNA YA KUTUMIA CHUMVI YA MAWE KUJISAFISHA KIMWILI. Unaweza tumia chumvi ya mawe kujiondoa dhidi ya nuksi, vifungo vya kichawi(Sio vyote vyengine unahitaji wataalamu wa kiroho ku...

Venus by Capricorn in 2nd House You may be attracted to persons older than yourself, someone who is emotionally mature and reliable and who can provide the security you desire...

Bibie mie sio mchawi wala mganga usiniogope eboo😄😂 https://t.co/FO7I8MIyGB

Ukitaka utoke nje ya boksi la utumwa inabidi ujue kuwa MUNGU ni NGUVU na sio mtu NGUVU haina mtoto, haina mjumbe, haina taifa teule, haijawahi kuongea na mtu, haina upendeleo, hai...

Jimalize https://t.co/bzkUKGqGaw