M.D (πŸ…¨)

M.D (πŸ…¨)

@ReganTesla_

M.D & Life Coach 🌳 ✊🏿GOD FIRST | TIME WILL TELL | TUISHI✊🏽 πŸ“ž 0716006808

Joined Feb 2025
43
Threads
32
views
109.5K
Followers
94.3K
Tweets

Threads

Mambo muhimu unayopaswa kuzingatia unapokuwa Mfanyabiashara ambae anatafuta mtaji.. Hapa namuongelea yule mtu ambae anafanya biashara kwa kuanza na mtaji mdogo Lakini ana malengo...

NI HIVI!!! Mke ni FULL PACKAGE, πŸ˜…πŸ˜… Kuna mtu akiona full package anawaza Sura, Tako, Tabia njema, Hofu ya Mungu, Juhudi, Mikato ya paka chongo n.k Sasa Wakuu tueleweshane! Kwanza...

Skia nikupe story yangu moja kuhusu jambo lile lile πŸ˜„. Nilikutana na Binti mmoja hivi, nikawa na ukaribu nae akawa rafiki yangu sana ila siku akanieleza kuwa ananipenda. Mimi nili...

NI KWANINI NGONO INAWEZA KUKUANGAMIZA?? Ngoja nikutungie story fupi hapa ihisishe watu wa 3. 1: Kipepe 2: Kibibi 3:Kamamaa Naanza: Kipepe ana miaka 30, yeye amemamiza masomo yak...

Hold On!! UKURASA WA NYUMA unahitaji maono kabla ya kuendelea.. Niendelee kuifungua kurasa au niache nifanye mambo mengine? Kwa maoni binafsi tunaweza kuwasialiana 0716006808. 1...

Rafiki yangu alipelekwa Gerezani kwa makosa ya madai, Mlalamikaji wake akatumia udhaifu wake wa kutokujua sheria kumuweka ndani akakaa mahabusu muda mrefu bila kesi yake kusikilizw...

KUJIPATA SIO RAHISI!! Nimekuwa nikijitafuta kwa zaidi ya miaka 10 na bado sijajipata, Hii safari haijakuwa rahisi kabisa na sijawahi kuikatia tamaa. Mwaka fulani hivi nilienda kw...

HATMA YA JESCA NA BEN... Baada ya Jesca kurejea anakuta mambo hayaeleweki nyumbani anaamua kwenda kwa ndugu yake labda huko atarudisha majeshi. Tukumbuke kuwa Jesca amemtelekeza M...

....INAENDELEA. 🧡 Jesca aliposhushwa pale nyumbani alishushwa kama Mzigo tu hakukuwa na mzungumzo mengi, Vilishuswa vitu vyake kisha yeye akashukuka na mtoto wake. Kwenye ile gari...

Ben alimuoa Binti Jesca alimpenda sana na waliishi kwa furaha sana siku za Mwanzo wa ndoa yao. Ben alikuwa ni Mtumishi wa Umma wakati Jesca hakuwa amepata kazi. Alikuwa akiendelea...

Kuna dada mmoja hivi jina mwaka fulani alienda kuomba kazi ya kujitolea sehemu wakati amefika akaambiwa hakukuwa na nafasi, Akashukuru akaondoka wakati anatoka pale ofisini kuna mt...

UTAPELI KWA MAWAKALA UNAKUWA HIVI! Aanakuja dukani Mtu Mzima fulani hivi alievaa mavazi ya official wengi wanavaa suti, tai na miwani. Akija dukani anakuwa akizungumza na simu na...